TCRA: Kwanini intaneti zipo dhaifu sana kiasi kwamba huwezi kuunganisha kwenye kompyuta?

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,340
5,574
TCRA na wadau, nimeshangazwa kwa wiki hizi mbili intarnate zimekuwa weak kufungua website hasa kama unatumia simu kutethering kwenye laptop?

Angalau voda inajitahidi kiasi lakini laini zingine zote hakuna kitu. Je tatizo ninini?

Naomba wadau mnielimishe.
 
Kwenye nchi kama hii hilo kutokea mbona ni kawaida sana. Tanesco tu umeme unaweza ukaja mwingi "Surge Current" na kuunguzia watu vifaa na ndio inakuwa imetoka hivyo.
Hizi ni "Shithole Countries".
 
TCRA na wadau, nimeshangazwa kwa wiki hizi mbili internate zimekuwa weak kufungua website hasa kama unatumia simu kutethering kwenye laptop

Angalau voda inajitahidi kiasi lakini laini zingine zote hakuna kitu. Je tatizo ninini?

Naomba wadau mnielimishe.
Ndo maana wamemwaga ofa za bando uku wakijua huwezi tumia
 
Pumbafu kabisa yaani tz tunazidiwa speed ya net na viinchi vidogo huu ni ujuha uliopitiliza wabadilike aise maana tunatia aibu sana eti 4g kumbe hamna kitu ni sawa na 2g tu
 
Back
Top Bottom