tcra ichunguzeni airtel,kwa wizi uhu,

tcra ichunguzeni airtel,kwa wizi uhu,

PRINCE CROWN

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,210
Reaction score
4,182
napenda kutoa malalamiko yangu kwa [tcra] juu ya TABIA MBAYA YA KAMPUNI YA AIRTEL, IMEKUA NATABIA YA KUTUIBIA KWENYE ENEO LA MUDA WA MAONGEZI NA HATA BANDO LA INTANET.

KWA MFANO UNANUNUA KIFURUSHI CHA SIKU UNAPEWA MASAA 24 LAKINI UNASHANGAA BAADA YA MUDA WANAKATA MUDA WAKO UKIANGALIA MUDA UNAKUTA UNAKWAMBIA MUDA WAKO UTAKWISHA KESHO LABDA SAA 12;00 JIONI LAKINI UKIWEKA MORDEM INAKWAMBIA HUNA SALIO.

UKIPIGA KASTAM CARE WANAKWAMBIA TUNALISHUGULIKIA TATIZO LAKO AU KATA UZIME SIM YAKO MUDA WAKO UTARUDI UNAFANYA IVYO LAKINI HAMNA CHOCHOTE, UKIWAPIGIA TENA HAWAKUPI JIBU LA KUELEWEKA, NA WAKATI MWINGINE UNAKUTA MUDA WAKO WA MAONGEZI UMELIWA BILA WEWE KUTUMIA, NAOMBA [TCRA] MFATILIE UHU WIZI WA WAZI WAZI,
 
Hawa kwa airtel money na modem bado!!ndo mtandao wangu 80% kupiga tu utaipenda!
 
hii issue ni serious mkuu mi nilifikiri labda mimi tu, yaani unakuta 300 haipo kwanza mi nimehama airtel kwa sasa na wanaofikiri labda tunaijungua airtel la hasha ila kiukweli ni wezi, bando la siku halifikishi 24 hrs, afu na wizi wa salio 100 au 300 mara hutumi sms ukiwa huna salio kuanzia 125sh. wanaboa saaaaana. kwa sasa mi niko VODA HAKUNA MATATA WALA MBWEBWE, SIJUI HAKATWI MTU RUBISH
 
huko voda nako majanga, hawa wote wezi tu sijui twende wapi toba, wiki ilopita nimeweka kifurushi cha wiki 4200, pesa wakapiga na kifurushi sikupata. Nihamie wapi sasa, nilitaka kuhamia airtel
 
hii issue ni serious mkuu mi nilifikiri labda mimi tu, yaani unakuta 300 haipo kwanza mi nimehama airtel kwa sasa na wanaofikiri labda tunaijungua airtel la hasha ila kiukweli ni wezi, bando la siku halifikishi 24 hrs, afu na wizi wa salio 100 au 300 mara hutumi sms ukiwa huna salio kuanzia 125sh. Wanaboa saaaaana. Kwa sasa mi niko voda hakuna matata wala mbwebwe, sijui hakatwi mtu rubish
nikweli kabisa mkuu ni wizi wizi tu, embu fikiria wakiwa ibia wateja [ml 2] kwa siku sh 300 je ni mabilioni mangapi kwa siku? Pili ni kweli bando la 24 halifikishi hrs, tena ukipiga kastama care utapata kichefu chefu, muda wako hawarudishi, dawa ni kuhamia vodatu,
 
huko voda nako majanga, hawa wote wezi tu sijui twende wapi toba, wiki ilopita nimeweka kifurushi cha wiki 4200, pesa wakapiga na kifurushi sikupata. Nihamie wapi sasa, nilitaka kuhamia airtel

basi ngugu [kapotolo] haya ni majanga. Tcra ifutwe kwa kulea wezi.
 
Mitandao ya simu yote ni ukoo wa panya, tofauti yake ni umri, kujituma katika kuiba, namna ya kuiba na kiwango cha kuiba.
 
napenda kutoa malalamiko yangu kwa [tcra] juu ya TABIA MBAYA YA KAMPUNI YA AIRTEL, IMEKUA NATABIA YA KUTUIBIA KWENYE ENEO LA MUDA WA MAONGEZI NA HATA BANDO LA INTANET.

KWA MFANO UNANUNUA KIFURUSHI CHA SIKU UNAPEWA MASAA 24 LAKINI UNASHANGAA BAADA YA MUDA WANAKATA MUDA WAKO UKIANGALIA MUDA UNAKUTA UNAKWAMBIA MUDA WAKO UTAKWISHA KESHO LABDA SAA 12;00 JIONI LAKINI UKIWEKA MORDEM INAKWAMBIA HUNA SALIO.

UKIPIGA KASTAM CARE WANAKWAMBIA TUNALISHUGULIKIA TATIZO LAKO AU KATA UZIME SIM YAKO MUDA WAKO UTARUDI UNAFANYA IVYO LAKINI HAMNA CHOCHOTE, UKIWAPIGIA TENA HAWAKUPI JIBU LA KUELEWEKA, NA WAKATI MWINGINE UNAKUTA MUDA WAKO WA MAONGEZI UMELIWA BILA WEWE KUTUMIA, NAOMBA [TCRA] MFATILIE UHU WIZI WA WAZI WAZI,

rahisi sana mkuu amia mitandao mingine ni hivyo tu..
 
You never read the small print "terms and conditions apply" waombe uzisome
 
Yote haya yanatokana na wahusika kutotimiza wajibu wao kwa wakati, kwani sidhani kama nchi za wenzetu kama mambo kama haya yanatokea na hata kama yakitokea wanadhihirisha uwepo wake haraka iwezekanavyo, sasa sijui Tz kwa sasa kuna laana inatuandama?
 
Back
Top Bottom