Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 5,361
- 11,517
MB 1024 = 100%Wananchi tumekuwa tukilalamika sana kuhusiana na wizi unaofanywa na mitandano ya simu. Mmeziba masikio yenu kwa Vigondo. Hamsikii.Na macho yenu mmeyavalisha miwani ya Mbao. Hamuoni.
Airtel kwanza wana utaratibu ambao mimi nmeshindwa uelewa.napotaka kuangalia data bundle iliyobaki sipewi majibu. Napewa majibu ya salio la kawaida lililobaki. Data sipewi majibu yake. Lengo lao ni kuwa nisiweze fuatilia kiasi cha bundle kinachotumika.
Pili leo nmeshangaa simu ikiwa haipo online sijawasha data naletewa ujumbe nimetumia asilimia 90 ya GB 1 ambayo nliweka jana mchana na sijadownload chochote cha kufika hata MB 200. Huu ni wizi. TCRA sijajua kwa nini mnawaacha hawa wenye mitandao watuibie.
"Umetumia takribani 90% ya MB 1024 yako. Salio ya intaneti yako ni 87 MB. Bonyeza My Airtel - Apps on Google Play kupakua Airtel App kununua Bando mpya."
View attachment 1601814
MB 1024 = 100%
10% = 102.4 MB, lakini wao wanasema umebakiwa na 87MB. 15.4MB hazijulikani ziliko
10% ya 1024MB ni kiasi gani. Tuanzie hapa kwanza ndio tuje kwenye ubishi wako na tigo 2014Unatumia simu gani nikusaidie hienda ni kweli lakini kuna vitu hujajua bado!! Mm niligombana na tigo 2014 hivyo hivyo kumbe matumizi yalikua sawa...nitajie simu yako kwanza.
Vodacom nao wana wizi wao wa bundle.kuna wakati mpaka nikahisi hii simu ni fake inatumia data bila kuwasha dataAirtel siku hzi wamezid kula bando sijui nini kinaendelea unaweza zima data una GB 2 ukiwasha unakuta MB 400
Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
Sio kawaida sijui wanafanyaje dakika 10 ukiwasha data zinaenda hata MB 200 na hauja downloadVodacom nao wana wizi wao wa bundle.kuna wakati mpaka nikahisi hii simu ni fake inatumia data bila kuwasha data
Mb 102.410% ya 1024MB ni kiasi gani. Tuanzie hapa kwanza ndio tuje kwenye ubishi wako na tigo 2014
Vodacom nao wana wizi wao wa bundle.kuna wakati mpaka nikahisi hii simu ni fake inatumia data bila kuwasha data