TCRA huu wizi wa Makampuni ya simu mbona mmeufumbia macho? Angalieni Airtel

Wanaolalamika ni wapumbavu sababu kuna hatua za kuchukua kabla ya kuoalamika,mtu unashindwa kupakua kipimio cha data ili kupima kiasi unachotumia na apps zinazotumia data nyingi!??
Kama una simu ka hii utalalamikaje unaibiwa?

Sema kama unatumia toleo la zamani sana la android ni halali kulalamika.View attachment 1602832
Wewe acha matusi kichwa chako ndio kigumu kuelewa mada iliyopo mezani ka mtihani siumefeli au ndio huko Airtel, bogus
 
Habari za moroco kiongozi?
Hilo neno ""takribani"" katika hiyo sms uliyotumiwa naona Bado hujajua maana yake au unaijua ila umeamua tu kujitia umbumbumbu.... takribani90% doesn't mean exactly90%....it can be ±90% kwasisi wana mahesabu
Mfano:-
(89.5,89.6,89.7,89.8, 89.9, 90.0,90.1,90.2,90.3, & 90.4.)%
~90%
Kwasisi tuliosoma approximation/Rounding off numbers hizo namba zote nilizoziorodhesha ni ~90%
Kwahiyo kuwa mpole braza...hivyo vi MB 15.4 unavyodhani umeibiwa huenda vipo katika asilimia chache ambazo katika makadirio ya namba huwa tunavi-ignore
~
 
Nliandika. Nadhani moderator huwa kuna kitu wanaambiwa so wameiondoa. Moderators kipindi hiki wanatia mashaka sana

Airtel ni wahuni ukitaka kuangalia bundle hawaonyeshi, mleta mada ungeandika Airtel ili wajijue kabisa maana ni kero title yako iko general so hawawezi kupata ujumbe
 
Nliandika. Nadhani moderator huwa kuna kitu wanaambiwa so wameiondoa. Moderators kipindi hiki wanatia mashaka sana
Sasa hapo hawapati ujumbe wao maana title tofauti na content kabisa, mods hawatendi haki kuficha udhaifu wa airtel
 
Kumekuwa na shida sana mwa mods nowdays. Wana edit kuwafichia watu au makampuni flani udhaifu wao na kitu kipo clear kabisa siyo cha kusingizia.

Sasa hapo hawapati ujumbe wao maana title tofauti na content kabisa, mods hawatendi haki kuficha udhaifu wa airtel
 
Kumekuwa na shida sana mwa mods nowdays. Wana edit kuwafichia watu au makampuni flani udhaifu wao na kitu kipo clear kabisa siyo cha kusingizia.
Yani hafu JF imekuwa ka TBC kila kitu kinaeditiwa kufuraisha watu flani ile slogan hai apply and doesn't make sense at all. Sasa Kuna haja gani ya kuanzisha kitu then wao waandike wanachotaka wao badala ya users. Sasa hii mada itafanya watu wengi wasiisome na ujumbe usifikie walengwa
 
Shida Airtel wametoa option ukitaka kuangalia bundle iliyobaki
Heb piga hiyo menu afu chagua #1 uniambie kimekuja nini
Screenshot_20201017_095746.jpg
 
Kabla hamjaja kulia lia mitandaoni pigeni kwanza simu huduma kwa wateja kisha ndio mje...hii siyo msg ya salio?? Hapo mm nimemaliza MB zangu ndio mana hapo hazijaorodheshwa
Screenshot_20201017_095917.jpg
 
Nipige ya nini sasa Mimi nawasilisha kero yangu kuhusu Airtel hayo mengine wangetoa maelezo yao. Kwahyo kwa akili yako unaamini wewe tu ndo unajua kutumia simu wengine hatujui?
Ungekuwa unajua vitu vidogo hivi usimgekuja kulia lia huku kwanza
 
Kabla hamjaja kulia lia mitandaoni pigeni kwanza simu huduma kwa wateja kisha ndio mje...hii siyo msg ya salio?? Hapo mm nimemaliza MB zangu ndio mana hapo hazijaorodheshwaView attachment 1602890
Hivi watu wabadilishe jambo tofauti na mwanzo customers wataota hilo jambo kuwa limechange?
Hujaelewa logic simple like that Mimi raia niote Airtel wamechange system yao ni guess tu, mbona kitu impossible hyo, ndio maana voda hutangaza piga number flani kupata hichi, customers hatuwezi ota wakichange.
 
Ungekuwa unajua vitu vidogo hivi usimgekuja kulia lia huku kwanza
Wewe ndio huelewi Mambo rahisi natumia hyo njia wakichange niote tu, sasa mjinga Nani Mimi au wewe usiye elewa. Maana voda wako clear, so kuniambia niwe na guess new system ya kuangalia salio ndio utahira. Airtel hawatutendei haki customers wao ndio concern yetu. Wewe unajua Mana una mda mchafu wakufatilia au uko Airtel kwanini nijisumbue ku guess while huwa Kuna code inayojulikana rahisi. Ningekuwa tcra ningewapiga fine kubwa
 
MB 1024 = 100%
10% = 102.4 MB, lakini wao wanasema umebakiwa na 87MB. 15.4MB hazijulikani ziliko
Kuna neno TAKRIBAN yafaa kulizingatia nalo... japo hiyo haihalalishi wizi wao


Yaani tuseme wee lakini mtandao ambao sasahivi nauona angalau mimi ni Zantel pekee sijui halotel kwavile sina lakini;

Airtel mahindi majizi kama wadau wanavyolalamika humu na the like

Voda makaburu chaugumu (kifurushi cha wiki elfu 5 na vidakika vyenyewe kidoh!- nani ana uchumi huo katika sisi walalahoi)

Tigo ndo walewale hakuna cha maana

TTCL maongo ya kupindukia (yaani unaweza kutuma sms zinagoma mara unapiga inakataa kuunganisha- kifirushi kinaexpire hujakitumia)

Zantel maarabu sijui yale nayo utaona vikitu vya ajabu ajabu tu halafu kila siku ofa maalumu ni geresha ya maandishi tu
 
Back
Top Bottom