TCRA, hawa SimNet Tanzania ina maana wamewashinda?

The Businessman

JF-Expert Member
Jan 9, 2014
7,397
9,246
Kwenu TCRA huu utapeli unaoendelea Mitandaoni wa watu wanaojifanya wametengeneza Application wanayodai inauwezo wa kunasa mawasiliano ina maana wameshinda hawa watu? Iko wapi Cybercrime law?...mbaya zaidi wamefungua Page Facebook za watu maarufu wakiziendesha kupromote Huu utapeli wao kuna Page kama ya
Reginald Mengi
Joseph Mbilinyi
Millard Ayo
Wema Sepetu
Jerry Slaa
Halima Mdee
January Makamba na page nyingi za watu maarufu.
Pia ina maana Watu hawa hawajui kuwa majina yao yanatumika kupromote huu utapeli?
cc TCRA
 
Back
Top Bottom