TBT


Asante kwa kunipa heshima hiyo.
sina hadhi wala cheo lakini hii huwa inanitokea sana katika maisha yangu kupewa heshima na jamii mpka familia
 
🀍 I’m humble you know (kwa sauti ya Le mbebez) 🀣

Ila mi ni jokeri mzuri tu ni basi tu lazima nimzoee mtu kwanza, i’m never a serious person hadi kwa mambo yanayohitaji kuwa serious.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…