Ukitaka kula mema ya Nchi na mabinti warembo, ni lazima uwe mwepesi kufungua pochi, na kwenye hilo eneo Wazee hatuwazagi sana 🤭
Kwenye umri naweza kuwa nimekupita parefu, Ile picha ya selfika ni ya mwaka 47 ujue 🤪
Otherwise, tukapimane umri Selous National park, muhimu unibebee dawa zangu za Presha tu 🤭 🏃 🏃
Msala ulikuwa Ni wakati wa utawala wa JPM au siyo
Twenzetu Selous Mzee mwenzangu, binafsi maandalizi nilifanya tangu mwezi uliopita ujueKwa kipengere hicho wazee 🫡 kwenu
Kwa hizo story na comment zako tunaweza kuwa umri unaendana kiasi.
Kama pensheni bado inapumua tukaimalizie tu serous haina namna
Twenzetu Selous Mzee mwenzangu, binafsi maandalizi nilifanya tangu mwezi uliopita ujue
Nataka unipe sababu ya kumpelekea kungwi wako zawadi maalumu baada ya kuona yaliyomo 🤭
Wanasema jungu kuu halikosi ukoko, na sisi wanywaji huwa tunasema mvinyo kadri unavyokaa muda mrefu ndivyo unavyozidi kuwa mtamuHiyo park nina siku nyingi sijaenda,, jambo zuri!!!!
Nilishajizeekea ukitoka huko usije kunianzishia uzi wa kukana yote niliyoandika sababu hamna kitu kwangu mie.
Kumbe yaliyomo yamo kwako???
Nimekuelewa, tuishie hapoHapa nimeandika story kama umeisoma vizuri!! sijaandika sehemu yoyote kuhusu engine.
Hiyo part unayosema niliwahi kuandika kwenye comment haihusiani na hii na sikusema ilikuwa wakati gani? sikueleza kiundani sana!!!!
story hiyo na nilishasema nitaleta mkasa mzima hapa siku nikijisikia.
Huu uzi sikutaka kutaja majina ya watu japo ningetaka ningefanya hivyo. na unaona sijayataja kabisa kwa nn unataja hilo jina muda wote???? ipi sababu?