Hopefully umekubaliana na mimi kuwa hii stori ni nzuri jukwaani ila sio kwenye jamii. Hilimaanisha hivyo kwenye ile quote. Asante sana nimeongeza uelewa.Binti yake akiona maku yake inaweza kumvusha ni yeye tu!!!!
kama mzazi huwezi kujua yanayotokea kwa mtoto wako