leo dada
JF-Expert Member
- Oct 26, 2023
- 3,353
- 17,020
- Thread starter
- #601
moyoni mwangu natamani vitu vya kipuuzi ila muonekano ni mstaarabu kwahiyo watu nilowahi kukutana nao wote walinitreat kisabato , ila siku nikipata wa kubonyeza kitufe nitaripuka kama bomu la nyuklia🤣🤣🤣
Safi kabisa,,, ukimpata jiachie mtumie akutumie