TBT

TBT

leo dada mi nikurudishe nyuma kidogo. Sijui sijaelewa vizuri!
Nini ilikuwa sababu ya wewe kutaka kwenda kuitoa bikra hospitalini ndo uje kumpea boss?

Nilikuwa na boyfriend tuliyekuwa tunasubiriana . Mama zangu wadogo waliamini kwa boss Kuna hela hakuna future.
Sasanilienda ili niweze kujua kama namkubali boss au la! episode 1 soma vizuri
 
TBT 5
inaonyesha wanawake mbele ya hela hawachomoi na wako radhi kutoa penzi kwa highest bidder...hata kama wako kwenye ndoa.

just imagine kipenz chang kapewa bahash tu yenye kibunda akatangulia kibla😁

mwanamke haridhiki ata apewe billions of money...

Vilevile akiamua kagawa tamuu yake atampa yoyote hivyo mwanamke hachungwi.

Cc leo dada
maoni yako yaheshimiwe
 
Back
Top Bottom