TBT: Mwisho Mwampamba and Seven Mosha

TBT: Mwisho Mwampamba and Seven Mosha

Chunga Sana

Senior Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
117
Reaction score
88
1090528
 
Wote wako hivyo
Ana kaka yake mmja anaitwa isambi yeye ndy chzi.....
Mwisho mbn mtu wa kawaida sana

Ova
Haha mwisho chizi yule ...ana ukawaida gani !? Nakumbuka alikuwaga na XL lake basi ilikuwaga ni vurugu tupu mitaa ya graveyard (rose garden)
 
Bangi sio tatizo mkuu na halijawah kuwa tatizo. Sema tatizo ni kichwa cha mtu mwenyewe mwaka wa 10 natumia haijawahi niletea madhara wa athari yeyote
Huwenda nikweli haikuletei madhara... au ikawa inakuletea madhara .ila kwakuwa tayari imesha kuathiri ki-psychology inakuwa ni nadra kwako kutambua kuwa umeathirika
 
Bangi sio tatizo mkuu na halijawah kuwa tatizo. Sema tatizo ni kichwa cha mtu mwenyewe mwaka wa 10 natumia haijawahi niletea madhara wa athari yeyote
Wewe mvutaji hauwezi kuona madhara yake... sisi wa pembeni ndio tunayaona!
 
Niko sawa na nina akili timamu na naheshimika na jamii inayonizunguka kweny mambo ya muhimu yahusishao jamii inayonizunguka
Mbona hapa unaongea kama kichaa mkuu. Nakushauri ukamuone mtaalamu wa matatizo ya akili haraka sana kabla mambo hayaja haribika zaidi mkuu😆😆. Maana unasomeka kabisa kuwa haupo sawa kabisa.
 
Bangi sio tatizo mkuu na halijawah kuwa tatizo. Sema tatizo ni kichwa cha mtu mwenyewe mwaka wa 10 natumia haijawahi niletea madhara wa athari yeyote
Wee jamaaa bhana .......,mlevi hawezi kuona madhara ya ulevi wake.Umeshawahi kujipa homework ya kuuliza wale unaoishi nao?Kama si wanafiki watakueleza jinsi mitazamo na mwenendo wako ulivyo wa hovyo.
 
Haha mwisho chizi yule ...ana ukawaida gani !? Nakumbuka alikuwaga na XL lake basi ilikuwaga ni vurugu tupu mitaa ya graveyard (rose garden)
Hali ya Mwisho ni mbaya,kachoka balaa Limebaki jina tu ,binti ake alihamishwa kutoka private school to government,siku aliyo report shuleni wanafunzi na walimu walikuwa like "Wewe ni mtt wa Mwisho!!😔 imekuaje umekuja kusoma st Kayumba,?" mtoto alikuwa anajisikia vby aisee!!

Mwisho hata simu ya kitochi hana,ukitaka kumpata unamtafuta jirani ndio ampelekee Mwisho simu.
Ila kaka ake (Isambe) ndio balaa kbs
 
Duh !!! Kwani si-alioa sijui ni Zambia ...hali ya maisha kule ilimshinda au !?
Hali ya Mwisho ni mbaya,kachoka balaa Limebaki jina tu ,binti ake alihamishwa kutoka private school to government,siku aliyo report shuleni wanafunzi na walimu walikuwa like "Wewe ni mtt wa Mwisho!! imekuaje umekuja kusoma st Kayumba,?" mtoto alikuwa anajisikia vby aisee!!

Mwisho hata simu ya kitochi hana,ukitaka kumpata unamtafuta jirani ndio ampelekee Mwisho simu.
Ila kaka ake (Isambe) ndio balaa kbs
 
Back
Top Bottom