The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,468
- 20,877
Ha ha hawa jamaa ni wehu kuna jamaa yangu mmoja anaitwa zinga (alikuwa mtoto wa meya kobelo) aliwatapeli kwa kuuza nyumba yao, huyo isambe alimtafuta wakamshushia kipigo heavy jamaa akachoropoka karuka fensi ya miiba wiki nzima alikuwa anatoa miiba mwilini