na mimi nahis
na mm nahisi hivyo..lkn ishu nyngn ni kuwa baada ya Mwisho kuachana na mke wake wa kwanza,alimuoa Mzambia na Mtalaka wake nae akaolewa,
Mke wa pili (Mzambia) hakua tyr kulea mtt wa Mwisho.Na Mwisho anampenda sana binti ake ,hii ilichangia wao kuvurugana
Na mume wa mtalaka wa Mwisho nae hakuwa tyr kulea mtt wa mwanaume mwenzie,.Ilibidi mtoto apelekwe Mbeya kwa babu yake ambapo huyo babu alikuwaga Prof SUA ila by that time aikuwa anakula pension,Babu nae akafariki ,mjukuuu akarudishwa Morogoro.