TBS mko wapi pombe feki zimetapakaa mtaani?

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
15,781
Reaction score
36,009
Pombe feki mtaani imekuwa jambo la kawaida sana siku hizi

Yaani unaweza kupata chupa ya Hennessy na box yake Kwa elfu 40, hii inakuwa na ladha Ile Ile ni ngumu Kwa mtu wa kawaida kuzitofautisha

Jack Daniels fake ni nyingi mno na zinauzwa elf 30 wakati kawaida hii pombe inauzwa 150k
Mtanganyika akaikuta ipo cheap anachukua tu

Kwasasa usijidanganye kuingia bar na kuagiza pombe za nje na za gharama, maana hapa Nina uhakika 💯 utapewa copy yake, na utaifurahia ila baada ya miaka kadhaa figo zinaanza kufeli

Wale mademu wanaomba zawadi za Hennessy, wahuni huwa wanawaketea copy na mlivo wajinga mnashangila

Empty za hizi pombe Huwa ziatafutwa na zinauzwa ili kwenda kujazwa pombe feki, huwezi kuona Kwa vyovyote empty bottle au box ya pombe za gharama mtaani, ajiulize Huwa zinaenda wapi zikishatumika

Ni heri ukiagiza unywe local beer za bei ndogo, ambazo hizi ni ngumu Kwa wahuni kuzitoa copy

Magonjwa ya figo yamekuwa mengi Toka Kwa wale wenye uweZo maana huwa wanakunywa pombe za gharama copy

Ni bar chache mno watauza hizo Hennessy na jack Daniels original
Screenshot_20250701-185940.png
Screenshot_20250701-190000.png
 
Daaah kwa tarehe hz miezi hii kila mtu kaenda jimboni uko kuchukua 4m z kutaka Jimbo. Tunakufa na kuangamia wao poa TU.cha kushangaza unakuta wao wanakula nao hao wachakachuaji.
KAZI ni kipimo cha utu
 
WALEVI WANAJITAKIA WENYEWE ACHA WAPEWE FEKI

KAMA KUNA MADAWA YA TIBA FETI,VIFAA VYA MATUMIZI HAPO TUTAPIGA KELELE ILA POMBE 🙏
 
Pombe feki mtaani imekuwa jambo la kawaida sana siku hizi

Yaani unaweza kupata chupa ya Hennessy na box yake Kwa elfu 40, hii inakuwa na ladha Ile Ile ni ngumu Kwa mtu wa kawaida kuzitofautisha

Jack Daniels fake ni nyingi mno na zinauzwa elf 30 wakati kawaida hii pombe inauzwa 150k
Mtanganyika akaikuta ipo cheap anachukua tu

Kwasasa usijidanganye kuingia bar na kuagiza pombe za nje na za gharama, maana hapa Nina uhakika 💯 utapewa copy yake, na utaifurahia ila baada ya miaka kadhaa figo zinaanza kufeli

Ni heri ukiagiza unywe local beer za bei ndogo, ambazo hizi ni ngumu Kwa wahuni kuzitoa copy

Magonjwa ya figo yamekuwa mengi Toka Kwa wale wenye uweZo maana huwa wanakunywa pombe za gharama copy

Ni bar chache mno watauza hizo Hennessy na jack Daniels originalView attachment 3390468View attachment 3390470
Yani licha ya wale kuchakachua konyagi na kufungwa Maisha Bado watu hawasikii.
 
Kupanga ni kuchagu tbs tra washatoa mwongozo jinsi ya kuscan kutambua kama fake au org kazi ni kwako na uvivu
Watanzania matatizo mnayatatua kwa njia za ajabu kabisa. Badala ya vyombo husika kutatua tatizo, navyo vinatoa eti ''mwongozo'' kwa walaji. Wanalipwa fedha za nini? Anyways... kumbe ni CCM ndiyo inaongoza.
 
Pombe feki mtaani imekuwa jambo la kawaida sana siku hizi

Yaani unaweza kupata chupa ya Hennessy na box yake Kwa elfu 40, hii inakuwa na ladha Ile Ile ni ngumu Kwa mtu wa kawaida kuzitofautisha

Jack Daniels fake ni nyingi mno na zinauzwa elf 30 wakati kawaida hii pombe inauzwa 150k
Mtanganyika akaikuta ipo cheap anachukua tu

Kwasasa usijidanganye kuingia bar na kuagiza pombe za nje na za gharama, maana hapa Nina uhakika 💯 utapewa copy yake, na utaifurahia ila baada ya miaka kadhaa figo zinaanza kufeli

Ni heri ukiagiza unywe local beer za bei ndogo, ambazo hizi ni ngumu Kwa wahuni kuzitoa copy

Magonjwa ya figo yamekuwa mengi Toka Kwa wale wenye uweZo maana huwa wanakunywa pombe za gharama copy

Ni bar chache mno watauza hizo Hennessy na jack Daniels originalView attachment 3390468View attachment 3390470
Tbs inaongozwa na watu wapumbavu kuna tomato source za kutokea kenya ni mbovu zinatoa maji na povu zimejaa madukani ..ila expire date inasomeka ni nzima ila imesha oza kabisa
 
Teknologia kukua, utandawazi na changamoto za kimaisha ndiyo chanzo haya yote
 
Back
Top Bottom