Tbl na nbc walishaita usahili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tbl na nbc walishaita usahili?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by DENNING, Nov 12, 2011.

 1. D

  DENNING Senior Member

  #1
  Nov 12, 2011
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 172
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  Ngudu zanguni tuliomba kazi TBL na NBC, sijasikia toka kwao au ndo wameshaita na nimetoswa?.Nijuze please. 
   
 2. R

  RONALDO Member

  #2
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  DENNING hii ndyo bongo kaz kujuana yawezeka wenzako wameshaanza na kaz wewe umezubaa tu unawait kuitwa ...bongo so kupata job bt uckate tamaa 2po pa 1
   
 3. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #3
  Nov 12, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  NBC ni washenzi tena wa kutupa wamewapa taarifa watu kuwa wamefaulu interview na wataitwa cku yoyote kwenda kuripoti toka mwezi wa tisa mpaka leo hakuna kinachoendelea na wakipiga cm wanaambiwa nyie subirini tu.
   
Loading...