Tbc1 watoa hali ya kutisha mfumuko wa bei ya vyakula

I think we have a culture issue, unless we admit it even Slaa is not gonna be successful, if he wins the election.

Hela nyingi Dareslam mpaka ATM runs out of money and they (managemnt) think they can control flow of cash into the public by limiting ATM transaction (thats how I look at it). Walipewa milioni 29 dola za kupunguza umasikini, unadhani hela ziko wapi? hapo hapo dar, arusha, mwanza nadhani. haya, karibia 80% ya micro loans wanapata watu Dar, Arusha, Mwanza. you are concentrate resources a three tiny locations. Only govenment and Banks can fix this. Hao watoa misaada wenyewe kazi yao kutoa misaada, lakini hapendi kugundua ile misaada ilifika inakwokwenda? Hamna namna watadanganywa wakose kujua, nadhani hujifanya wajinga. kwa sababu hivo sivo wanavyofanya wanaposaidia nchini mwao. Inawezekana wafanya kazi wao au mameneja hufanya Fraud. Hivi tunataka misaada ya nini? Ndio mana watu hawapendi kuondoka madarakani. na huenda hata uyu slaa au lipumba wakawa kama ccm.

Kupanda kwa bei za vitu ni Banki Kuu na Raisi ndio wanauwezo wa kulaumiwa. its a monetary and fiscal policy phenomenon. Na mtu ukitaka kusaidia kuchunguza haya mambo nibora kuanzia wakati wa nyerere baada ya vita ya uganda mpake leo. Solution is probable.

Wakuu huyu swali lake akaulize jamaa zetu wanaojaaliwa kupata kazi kule wizara ya uchumi na mambo ya fedha. tena watakupa mrundo wa data.

Naomba nikukosoe kidogo bwana Mziba, aina ya uchumi wa nchin yetu ni free, inamaanisha kwamba serikali haihusiki na upangaji wa bei za bidhaa.sababu ya huu mfumuko wa ajabu wa bei ni nyingi ila nita point moja tu ambayo mama ya sababu zote, POOR MANEGEMENT.

Haya matatizo yote yanasababishwa na wafanyabiashara wetu, wamejaa uroho mpaka basi, wao ndo wanajipangia bei tu bila ya sababu zozote, halafu serikali inakaa tu imefumba macho, kwa mfano angalia bei ya nazi, kutoka 100 hadi 500 sasa muulize muzaji kwa nini? atakwambia eti usafirishaji, haya muulize dereva mafuta shilingi ngapi?, haya pio muulize BP kwanini unauza mafuta bei ghali hivi? atasema soko la kimataifa bei imepanda. nenda soko la kimataifa ukaangalie,mafuta mwaka huu bei zimekua very stable.

tatizo ni kwamba wafanyabiashara wanajua kwamba watanzania wengi ni mambumbumbu, na badala ya serikali kuwalinda, yenyewe inawachekea tu wafanyabiashara, matokeo yake ona wafanyabiashara wanavyo kuwa matajiri na jinsi wafanyakazi wanavyozidi kuwa masikini.

Those are two main issues in any growing economy particularly the second point raised by smiling Panda, in any growing economy inflation is a must.

Mr Mziba had also raised a vital point if we need to solve the problem its the job of central bank and the responsible ministry to come up with the right policies in trying to deal with the inflation.

MY TAKE
Itatuchukua muda mrefu sana kama hatujui nini maana ya usomi na wanatumiwa vipi kwingineko duniani. Katika chungulia chungulia yangu nilipita katika website ya BoT kuchungulia tenda. I was appalled kuona kwamba jamaa wana issue hadi tender za kusaidiwa reseach zao sasa wana wa ajiri akina nani huko ndani.

Yaani ina maana hatuna watu wakuchungulia market behaviour within BoT, ina maana BoT hasn't got its own policy making team, ina maana BoT has got a research Team within its organisation to watch the market movement, Ina maana Hawa ma-Professor wetu wanawafundisha nini hao ma-graduates kuhusu uchumi wao kutumia mifano hai iliyopo currently, ina maana na wizara ya fedha kuna huu upuuzi wa BoT.

Kama atuna angalau chombo hata kimoja cha kusaidia policy formation within our important organs of development, binafsi la kusema sina. Wala hapa si suala la ufisadi tu, kweli atuchagui viongozi wezi tu bali wapuuzi vile vile. Kwa sababu vitu vingine kwa kweli ni kujitakia how on earth do they come up with policies in our country au ndio dizaini ya MKUKUTA kutupa upuuzi wao hapa JF.

Mi na nadhani ndio maana wengine wetu atustuki tukisikia Professor fulani kachoka na ana maisha magumu wakati tunaishi nchi maskini. Tunabaki kushabikia ushabiki wa siasa za majungu na viongozi ambao ni mashaka on both sides of the spectrum.

Viongozi wasio tumia watu wapasao kwenye maendeleo yetu na sisi tunaona sawa alimradi mtu wetu tunaemtaka bado aja disappoint, wakati the future is obvious because we support the trend. Ebu angalia tatizo la mfumuko wa bei za nyumba wao (BoT) wanavyolichukulia lightly, hii ndio namna ya kusuluhisha waijuawo wao Kaazi kweli kweli.

EXPRESSIONS OF INTEREST



ON


HOUSING MARKET STUDY IN TANZANIA


1.The Government of the United Republic of Tanzania has secured Project Preparation Advance from the World Bank towards the cost of the Housing Finance Project (HFP). It is intended that part of the proceeds of the funds be applied to eligible payments under the contract for the Housing Market Study in Tanzania.

2.The objective of this study is to establish baseline indicators for the housing sector; identify gaps in the market, underlying constraints, and areas for reform to support development of affordable housing, the study is also expected to come up with Market Analysis, Action Plan and a Dissemination Plan.

4.Bank of Tanzania now invites eligible consulting firms to express their interest in providing the required services. Interested consultants must provide information indicating their professional capability to undertake the consultancy. Such information may include brochures, description of similar assignments, experience in similar conditions, availability of appropriate skills among staff, etc.

5.A short list of consulting firms will be prepared on the basis of Expressions of Interest submitted to Bank of Tanzania in writing. The selection of a consultant will be in accordance with procedures set out by the World Bank Guidelines; Selection and Employment of Consultants by World Bank Borrowers, May 2004 revised October 2006.

6.Interested consultants may obtain further information at the address given below between 8.30 hours and 16.30 hours, Monday – Friday inclusive, exclusive of public holidays, before the deadline for the submission of Expression of Interest.

7.Expressions of Interest in writing, with corporate capability statement should be sent to:-
Postal: Secretary,

Central Tender Board
Bank of Tanzania,
P.O. Box 2939,

Dar es Salaam
Tanzania.


Physical: 5th Floor, South Tower,
10 Mirambo Street,
Dar es Salaam.

E-mail: PMU@hq.bot-tz.org


Telephone No.: 255 22 2235194/5
Fax No.: 255 22 2234053,


8.Deadline for submission of Expression of Interest is Monday, 9th August 2010 at 15.00 hours local time.
 
Back
Top Bottom