hawatakuwa na lolote labda chanel ten ndiyo niliona wana matukio mhimu na nimeona hawaweki upendeleoNimeona Tangazo TBC kwamba kutakuwa na kipindi Maalumu saa 2:30usiku kuhusu kilichotokea Arusha.
Naamini ni habari wanayotaka kutulisha baada yakufanya editing yakutosha ili kuhalalisha Mauaji waliyoyafanya Arusha.Wadau tufuatilie mida hiyo natutoe Tathmini zetu juu ya Uhalisia wake.
Kimsingi ni chombo cha wananchi lakini kimekuwa kikitumiwa na CCM zaidi kwamanufaa ya mafisadi, Tido alijaribu kuwa na misimamo lakini waka mmwanga....hivi TBC ni chombo cha serikali au wananchi?
Kimsingi ni chombo cha wananchi lakini kimekuwa kikitumiwa na CCM zaidi kwamanufaa ya mafisadi, Tido alijaribu kuwa na misimamo lakini waka mmwanga....
Nimeona Tangazo TBC kwamba kutakuwa na kipindi Maalumu saa 2:30usiku kuhusu kilichotokea Arusha.
Naamini ni habari wanayotaka kutulisha baada yakufanya editing yakutosha ili kuhalalisha Mauaji waliyoyafanya Arusha.Wadau tufuatilie mida hiyo natutoe Tathmini zetu juu ya Uhalisia wake.
Wewe unakanganya mambo.Uchakachuaji huu umezidi. Hivi vyombo vya habari vilivyokuwepo vitakubali taarifa zao kuchakachuliwa na TV moja? WanaJF, mbona siku ile tuliambiwa walikuwepo TBC1, CHN10,ITV,STARTV, BBC, etc, sasa iweje wachakachue??????? Siamini!! Tusubiri!!
I advice you wait and see first before concluding on ground of your expectations
hawatakuwa na lolote labda chanel ten ndiyo niliona wana matukio mhimu na nimeona hawaweki upendeleo