Luushu
JF-Expert Member
- Apr 8, 2012
- 882
- 537
Ni kweli TBC wamebadilisha symbolrate kutoka 4445 na kuwa 3072, ila bado siyo dawa kwani bado inapatikana kwa manati mi ni fundi nimeipata kwenye ft 8 bati na mesh hizi nimefunga hoteli tatu tofauti,aina ya recever ni mediacome 930,russisat na mediacome zile nyeusi mbele. Nimeipata kwenye ft 6 mediacom 930 na eagle,lakini huwezi amini kwangu imekataa TBC NA STAR natumia strong SRT 4652 MPGE 2,NINA EAGLE MPGE 2 NA WIZTECH HD NIMEGONGA MWAMBA