Tbc1 frequency not available!


C

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Messages
12,381
Likes
4,024
Points
280
Age
59
C

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2011
12,381 4,024 280
Wataalamu, naomba msaada, mimi ninatumia dish bado katika kupata matangazo ya TBC1, TBC1 haipatikani. Naomba mwenye kujua frequency anisaidie kama kuna mabadiliko. SHUKRANI.
 
N

nictbb

Senior Member
Joined
May 18, 2012
Messages
119
Likes
1
Points
33
N

nictbb

Senior Member
Joined May 18, 2012
119 1 33
kaka hakuna mabadiliko ya frequence wala symbrate,ila nahisi yategemea na receiver gani unatumia,na dish size gani,jana nimeipata kwenye mesh ya ft 8 na euro star mpeg 4 receiver bila shida kaka,maana wanaotumia media com 930 na dish za ft 6,kuipata ni tatizo kaka
 
Mgjd

Mgjd

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2012
Messages
434
Likes
20
Points
35
Mgjd

Mgjd

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2012
434 20 35
kaka hakuna mabadiliko ya frequence wala symbrate,ila nahisi yategemea na receiver gani unatumia,na dish size gani,jana nimeipata kwenye mesh ya ft 8 na euro star mpeg 4 receiver bila shida kaka,maana wanaotumia media com 930 na dish za ft 6,kuipata ni tatizo kaka
Mr nictbb kwa uzoefu wako,je ni vigumu sana kupata Amos 5 satellite kwa dish la 90cm kwa Dar?
 
M

MAKAH

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2010
Messages
1,595
Likes
12
Points
0
M

MAKAH

JF-Expert Member
Joined Sep 27, 2010
1,595 12 0
natumia receiver Gulf Star na nilichofanya ni kulichekecha dish( la 8) upya hadi nikaipata tena ingawa ilinipa shida kubalace kati ya kupata Channel Ten na TBC lakini hatimae zote nikazidaka hadi wa leo bila chenga
 
Mgjd

Mgjd

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2012
Messages
434
Likes
20
Points
35
Mgjd

Mgjd

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2012
434 20 35
kuipata amos 5 kwa dish la cm 90 ni rahisi.
MR. MAVELLA Dish langu kwa sasa linatega Eutelsat 36A/B at 36 degrees. Je,ktk hyo setting ili niweze kuinasa AMOS 5,NIFANYEJE dish? Je nipandishe zaidi kutoka hapo lilipo bila kuzungusha au inabidi nzungushe tena dish? Na kama si kat ya hayo basi nielekeze muelekeo wake ukae vipi. Tafadhali.
 
N

ntera

Senior Member
Joined
Jul 23, 2009
Messages
137
Likes
12
Points
35
N

ntera

Senior Member
Joined Jul 23, 2009
137 12 35
kaka hakuna mabadiliko ya frequence wala symbrate,ila nahisi yategemea na receiver gani unatumia,na dish size gani,jana nimeipata kwenye mesh ya ft 8 na euro star mpeg 4 receiver bila shida kaka,maana wanaotumia media com 930 na dish za ft 6,kuipata ni tatizo kaka
Naweza pata wapi hiyo receiver kama yako?
 
N

nictbb

Senior Member
Joined
May 18, 2012
Messages
119
Likes
1
Points
33
N

nictbb

Senior Member
Joined May 18, 2012
119 1 33
kwenye matangazo kupitia satellite,ukubwa wa dish ndiyo kila kitu,tafuta dish la ku 135cm
 
mtuko2

mtuko2

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2012
Messages
434
Likes
4
Points
35
Age
32
mtuko2

mtuko2

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2012
434 4 35
Naweza pata wapi hiyo receiver kama yako?
unatumia receiva ipi?kama ni mpeg4 hauitaji receiva nyingine elekeza dish yako dstv kisha nipm nikupe ishu
 
Mavella

Mavella

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Messages
361
Likes
11
Points
35
Mavella

Mavella

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2011
361 11 35
MR. MAVELLA Dish langu kwa sasa linatega Eutelsat 36A/B at 36 degrees. Je,ktk hyo setting ili niweze kuinasa AMOS 5,NIFANYEJE dish? Je nipandishe zaidi kutoka hapo lilipo bila kuzungusha au inabidi nzungushe tena dish? Na kama si kat ya hayo basi nielekeze muelekeo wake ukae vipi. Tafadhali.
kuipata amos 5 mwelekeo wake dish linaangalia magharibi ulipo mwelekeo wa zuku kwa saa na dish liinuke juu kama nyuzi 10 toka iliko zuku.
 
faemba

faemba

Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
46
Likes
4
Points
15
faemba

faemba

Member
Joined Oct 17, 2012
46 4 15
dah jamani nasikia kuna mabadiliko ya frequence ya tbc kama kuna mtu kazipata naomba anijulishe
 
Ilisolokobwe

Ilisolokobwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Messages
1,747
Likes
393
Points
180
Ilisolokobwe

Ilisolokobwe

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2013
1,747 393 180
HIyo amos 5 ni ya wapi tena!,nisaidie frq zake kiongozi
 
T

tusichoke

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Messages
1,294
Likes
9
Points
135
T

tusichoke

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2011
1,294 9 135
dah jamani nasikia kuna mabadiliko ya frequence ya tbc kama kuna mtu kazipata naomba anijulishe
kuna ambao wameshazitupia humu wanadai frequency ni 3891 H na symbol rate ni 3072 cheki hapo
 
M

M.KABAKA

Member
Joined
Aug 10, 2013
Messages
28
Likes
1
Points
0
M

M.KABAKA

Member
Joined Aug 10, 2013
28 1 0
ni kweli wanadai wamebadirisha frquncy ila labda kwa wenye mpg4 wengine bado ni majanga tu hawa jamaa bwana wanashindwa hata na msumbiji
 
mnogapavanu

mnogapavanu

Member
Joined
Dec 4, 2012
Messages
79
Likes
6
Points
15
mnogapavanu

mnogapavanu

Member
Joined Dec 4, 2012
79 6 15
Hawa TBC1 wanatufanyia usanii fulani.Kimsingi wamepunguza nguvu ya signal na ndo walalahoi ambao ndo wengi wenye dishes ft 6 hawaipati channel hiyo.Mi nilifikiri electronics injinia aongezee signal ya channel hiyo ili kukidhi ile hoja ya Tv ya Taifa.Waache urasimu usio na maana.ITV,CH10 na TVM zinawashinda?
 
Jenerali QoyoJB

Jenerali QoyoJB

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2009
Messages
307
Likes
8
Points
0
Jenerali QoyoJB

Jenerali QoyoJB

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2009
307 8 0
MABADILIKO NI YA KWELI NI KUANZIA TAR 9 AUGUST 2013.

1.SYMBOL RATE=3.072MS/s. HIVYO MATANGAZO YA TBC 1 YATAPATIANA NDANI NA NJE YA TANZANIA KUPITIA SATELITE YA INTELSAT 900-64.2'E
DOWN FREQUENCY; 3892 MHZ
SYMBOL RATE; 3.072 Mbps badala ya 4.445Mbps
FEC; 1.5( FORWARD ERROR CORRECTION)
POLARISATION; VERTICAL
 
Jenerali QoyoJB

Jenerali QoyoJB

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2009
Messages
307
Likes
8
Points
0
Jenerali QoyoJB

Jenerali QoyoJB

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2009
307 8 0
MABADILIKO YA FREQUENCY ZA SATELITE TBC 1 KUANZIA TAR 9 AUGUST 2013.

1.SYMBOL RATE=3.072MS/s. HIVYO MATANGAZO YA TBC 1 YATAPATIKANA NDANI NA NJE YA TANZANIA KUPITIA SATELITE YA INTELSAT 900-64.2'E
DOWN FREQUENCY; 3892 MHZ
SYMBOL RATE; 3.072 Mbps badala ya 4.445Mbps
FEC; 1.5( FORWARD ERROR CORRECTION)
POLARISATION; VERTICAL

WAJULISHENI WADAU WANAOPATA SHIDA KUIPATA TBC1.
 
S

Sambuka

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2011
Messages
319
Likes
3
Points
0
S

Sambuka

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2011
319 3 0
bado nguvu haipo kwenye kwny ft6 ya mpeg2
 
K

KIJIJI CHA HAKI

Senior Member
Joined
Apr 10, 2012
Messages
101
Likes
7
Points
35
Age
33
K

KIJIJI CHA HAKI

Senior Member
Joined Apr 10, 2012
101 7 35
mabadiliko ya frequency za satelite tbc 1 kuanzia tar 9 august 2013.

1.symbol rate=3.072ms/s. Hivyo matangazo ya tbc 1 yatapatikana ndani na nje ya tanzania kupitia satelite ya intelsat 900-64.2'e
down frequency; 3892 mhz
symbol rate; 3.072 mbps badala ya 4.445mbps
fec; 1.5( forward error correction)
polarisation; vertical

wajulisheni wadau wanaopata shida kuipata tbc1.
sasa naweza kubadisha vp hizo frq mpya? Naomba maelekezo kama wewe ni mjuzi wa haya mambo.
 

Forum statistics

Threads 1,273,856
Members 490,528
Posts 30,493,607