TBC yakisimamisha kipindi cha 'This Week in Perspective'

TBC yakisimamisha kipindi cha 'This Week in Perspective'

Hata hivyo kipindi chenyewe mwananchi ambaye haelewi kiingereza alikuwa hafaidiki kwa chochote.

Sijawahi kuelewa hiki kipindi kilikuwa kinalenga kutoa elimu kwa nani haswa?

wanaojua kiingereza ndo tulikuwa tunaelewa
 
Unatakiwa ujue kiingereza ili uweze kufuatilia hiki kipindi. Kipindi kilikuwa kizuri sana na walikuwa wanabishana kwa hoja. Kwa kweli Simbeye ana uwezo mkubwa sana wa kiingereza. Tusomeshe watoto na lugha ya dunia si Kiswahili bali ni Kiingereza.

Hao waalimu wakutufundisha kiingeleza mbona kijijini kwetu hawapo ,shida iliyopo tunaendelea kugubikwa na ukale wa sela ,utekelezaji duni wa mipango tunanayo jiwekea kunakila sababu ya wananchi tubadilike ile twende na Dunia ilipo sasa
 
Nina miaka 3 sijawahi angalia TBC, kwa kukifuta bado sio issue kwani wanaoangalia TBC ni walewale wa kwao. nilikuwa naangalia TBC wakati ule wa TIDO na hususani walipokuwa wakionyesha EPL.

Hoya Kibogo hicho ndio chomboa mahususi cha kutuhabarisha na kutuburudisha Wadanganyika ,bado tunapenda kusikia habari za kusadikika na alfu lela ulela
.
 
Kipindi kilikuwa kizuri sema hicho kikoloni ndicho kilikuwa kinaharibu watanzania zaidi ya 90% hawaelewi hiyo lugha ya kikoloni sasa hiki kilikuwa kwa ajili ya akina nani???
 
ipo siku PAYE yetu inayowalipa mishahara tutaidai, ili wawekwe kwenye payroll ya LUMUMBA. wavae magamba kabsaaa
 
Ni kipindi pekee cha maana kilichokuwa kimebaki TBC kama kimeondolewa basi hakuna kitu tena.
 
Simbeye akipeleke kipindi ITV ,tbccm haina issue pia kipindi kirushwe kwa kiswazi kitapata watu wengi sana,kusikiliza interview kwa kingreza kinatia njaa.
 
Kuna taarifa kuwa Shirika la utangazaji la Taifa (TBC) limekisimamisha kipindi chake cha This week in perspective kinachoendeshwa na Adam Simbeye bila maelezo ya kueleweka.
Hata hivyo imeelezwa na watu wa ndani kuwa mijadala ya kipindi hicho imekuwa mikali kwa Serikali, hivyo wakubwa hawataki.


Haya bana!
 
Unatakiwa ujue kiingereza ili uweze kufuatilia hiki kipindi. Kipindi kilikuwa kizuri sana na walikuwa wanabishana kwa hoja. Kwa kweli Simbeye ana uwezo mkubwa sana wa kiingereza. Tusomeshe watoto na lugha ya dunia siyo Kiswahili bali ni Kiingereza.

Kabisa mkuu, kiingereza ndo kiswahili cha dunia, naunga mkono hoja.
 
Tetesi? Leta ukweli nasi tuwambie ukweli TBC. Watabkia na kipindi gani sasa? Hivi ze-comedi ya masanja bado ipo tbc?
 
Siku wakiifunga vipindi vya ITV ntahuzunika sana...Kwa tbc sioni haja ya kuwa nao tena kwenye king'amuzi. Futilia mbali. Simbeye atafute television station nyingine aendelee na kipindi chake maana sasa hivi unaweza kuuza documentary Kwa station yoyote. Hamia ITV hakuna longolongo Kwa Mzee Mengi
 
Back
Top Bottom