TBC yakisimamisha kipindi cha 'This Week in Perspective'

TBC yakisimamisha kipindi cha 'This Week in Perspective'

Nilisha sahau kuangalia TBC mwaka wa pili huu
 
Safi sana,sijui walikuwa wanamwelimisha nani kwa kutumia lugha ya kigeni. Huyo mzee mwenye midevu kama Waafghanistan acha aijue kachumbari ni mboga au kiungo!?
Saa nyingine ukitumia kiswahili mabishano ya kijinga yanakua mengi ila kama mtu unaelewa kikristo (english) hata kidogo utagundua walikua wanaongea points tu tena zenye msingi, halafu lilikua ni jukwaa zuri la kuwaangalia wasomi wetu...
 
Babu yangu simbeye anakoroga kingereza had sio vzur btw anaeleweka sema lugha kwa majority ya watanzania inakuwa ngumu kuelewa
 
TBC ni kitu gani? ni TV au ni nin hasa...?
 
TBC imegeuka kama chombo cha propaganda ndani ya serikali na ccm! Mara nyingi huhoji wale wanaopendelea misimamo ya ccm na serikali!
 
Kuna taarifa kuwa Shirika la utangazaji la Taifa (TBC) limekisimamisha kipindi chake cha This week in perspective kinachoendeshwa na Adam Simbeye bila maelezo ya kueleweka.

Hata hivyo imeelezwa na watu wa ndani kuwa mijadala ya kipindi hicho imekuwa mikali kwa Serikali, hivyo wakubwa hawataki.
Mkuu, hiki kipindi bado hakijarudi? Yupo wapi mzee wangu Simbeye, nimem-miss sana aisee
 
Watu wengi kiingereza hawajui sasa sijui hicho kipindi kilikusudiwa akina nani? Halafu uongeaji wao wa kiingereza unachosha kusikiliza maneno wanayatafuta hadi kero bora umsikilize mtu anaongea broken ila hatafuti maneno.
 
Enzi hizo 2006 to 2007 kabla ajaendekeza njaa Mzee wa mimacho Kabudi alikuwa akishusha nondo balaa. Nakumbuka marehemu Sykersaid mziray naye alikuwa akitema yai vizuri sana.

Hivi mzee wa njaa na teuzi PASKALI mayala kashawahi kualikwa kwenye iyo program?
 
Hata hivyo kipindi chenyewe mwananchi ambaye haelewi kiingereza alikuwa hafaidiki kwa chochote.

Sijawahi kuelewa hiki kipindi kilikuwa kinalenga kutoa elimu kwa nani haswa?
Kipindi kilikuwa kinalenga Mabeberu.
 
wala sijawah kukiangalia hata.niache bahu begam na.kara sevda
 
0987890.jpg
 
Miongoni mwa vipindi bora kabisa vya muongo uliopita...sioni vipindi bora vya kukufanya utazame televisheni siku hizi...wakati huo hata vipindi vya challenge kv Zain Challenge, Dume Cndm Challenge, choreography (Salsa dances) nk... siku hizi televisheni zaidi ya Ligi Kuu Azam TV TV hazina programme za maana, local content tatizo
 
Back
Top Bottom