TBC yakatisha matangazo ya bunge na kuweka matangazo

LUS0MYA

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
862
1,097
TBC wamekatisha matangazo wakati waziri wa mambo ya ndani akianza kutoa maelezo kuhusu hoja ya askofu Gwajima kuhusu kurejea kwa mambo ya utekaji na kupotea watu hivyo kuchafua setikali ya awamu ya sita...haijeleweka wazi sababu ya kukatisha ghafla matangazo bila kutoa taarifa.
 
Tbc wamekatisha matangazo wakati waziri wa mambo ya ndani akianza kutoa maelezo kuhusu hoja ya askofu Gwajima kuhusu kurejea kwa mambo ya utekaji na kupotea watu hivyo kuchafua setikali ya awamu ya sita...haijeleweka wazi sababu ya kukatisha ghafla matangazo bila kutoa taarifa.
Kisa?
 
Gwajima aache uzushi. Awamu hii hakuna utekaji, hakuna uporaji Wala hakuna mauaji.

Muuaji, mporaji na mtekaji mkuu alikufa kizembe 17 march 2021. Mama asifananishwe na mungu wa Chato.
 
TBC wamekatisha matangazo wakati waziri wa mambo ya ndani akianza kutoa maelezo kuhusu hoja ya askofu Gwajima kuhusu kurejea kwa mambo ya utekaji na kupotea watu hivyo kuchafua setikali ya awamu ya sita...haijeleweka wazi sababu ya kukatisha ghafla matangazo bila kutoa taarifa.
Hivi bado Mnaangalia hilo takataka?....hahahaha...
 
Back
Top Bottom