kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,993
Wakuu hapo vip kwa TBC wataonesha the second match?
Wametangaza kesho watarusha mechi ya Senegal Vs Uholanzi tuWakuu hapo vip kwa TBC wataonesha the second match?
Wasipokata umeme dahWametangaza kesho watarusha mechi ya Senegal Vs Uholanzi tu
Yaani mbwembwe zote zile mpaka wageni rasmi kumbe wanadonoa mechi?Wametangaza kesho watarusha mechi ya Senegal Vs Uholanzi tu