lukatony
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 667
- 522
Tbc Mara nyingi wako busy na matangazo ya live ya kiserikali!Lakin walipa Kodi jamani tunahitaji mtuonyenye na matukio mengine!Matangazo ya mpira live ni nadra Sana kurushwa na Tbc.Acheni kutumia Kodi za wananchi Kama mtakavyo.Mjali na mambo mengine Kama matukio ya michezo jamani.Mmeshatuumiza vya kutosha kwa Kodi zetu,mtujali jamani,tumechoka kutizama uzinduzi jamani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app