TBC wamezima tusione Bunge

TBC wamezima tusione Bunge

majibu yatakayokija ni kustopishwa kwa wabunge wa upinzani. Hawachelewi hawa!
 
Mwenyekiti wa kamati ya maadili anasoma taarifa,wanafukuzwa watu hapa
 
Wameweka mziki ngoja tu tutakutana October.

Bavicha una uhakika bunge linaendelea? Si mmewatuma wanywa viroba wakafanye vurugu? Makinda alisema bunge litaendelea hapo atakapo tangaza ngoja kwanza hawa walevi wenu washughulikiwe!

Bila shaka wata simamishwa kuhudhuria bunge! Mkumbushe Mnyika wana ubungo tuna hitaji maji....
 
Hukumu ya tundu lissu, na wenzie inatoka......
 
Nchi hii alafu hao hao wabunge utasikia wanamsifia SPIKA
 
MaCCM wanafukuza watu wasihudhurie Bunge .....
 
Back
Top Bottom