KUNDULE JF-Expert Member Joined Jan 15, 2015 Posts 318 Reaction score 177 Jul 4, 2015 Thread starter #101 ngoja nisubiri bunge lijalo ambapo spika atakuwa wa UKAWA
born to win JF-Expert Member Joined Jun 21, 2015 Posts 561 Reaction score 168 Jul 4, 2015 #102 Kwann bunge liwe na spika,naibi spika,mwenyekiti wote kutoka ccm wakat bunge lina vyama tofauti? Inatakiwa kiongoz mmoja wapo atoke upinzani
Kwann bunge liwe na spika,naibi spika,mwenyekiti wote kutoka ccm wakat bunge lina vyama tofauti? Inatakiwa kiongoz mmoja wapo atoke upinzani
kson m JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 6,682 Reaction score 3,066 Jul 4, 2015 #103 WEZI Wa rasilimali zetu.wanabeba kwa rumbesa kama kawaida yao.mazingira yanaandaliwa.