daa huyu bikizee anawaaibisha sana WABENA aisee mbona wabibi kama yeye hawana tabia kama zake.
angekuwepo mzee MAKINDA tungeenda kuomba japo neno 1 tuu juu ya mwanae huyu aisee.
harafu yatubini atueleze huyu bibi mpaka umri huu hana hata mume why??.
au atakuwa anawatenda dada zetu?? hapa mm naona huyu bibi tunamlaum bule coz kuna vitu vipo nje ya uwezo wake ujue kukosa mme kwa umri wake ni shida sana.
Natamani wabunge wa upinzani wangekuwepo wote, ili kuitia tumbo joto serikali iondoe hii miswada ya kimagumashi. Kuna ulazima gani wa kui-present muda huu. Binafsi nimechoshwa na hiki chama kizee.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.