TBC wakiuka makubaliano ya jukwaa la wahariri

TBC wakiuka makubaliano ya jukwaa la wahariri

Ayubu Rioba ni kilaza wa kawaida sana, kiakili hana tofauti kubwa na Makonda, tofauti pekee ni vyeti vya darasani tu, Ayubu Rioba alisoma vizuri sekondari (Ilboru) na kufaulu vizuri sana chuo kikuu, hivyo anavyo vyeti halali.
Bashite yeye ni mzito tu darasani, ndio maana alipata sufuri na kuishia kuchakachua vyetu.
 
Leo TBC1 wamekiuka makubaliano ya jukwaa la wahariri kwa kutangaza habari ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam.
Itakumbukwa kuwa Jukwaa la wahariri lilitangaza kutotangaza taarifa za mkuu wa mkoa wa Dar mpaka aombe radhi.

Ulitaka wasirushe matangazo yake halafu wakikosa ' Mishahara ' yao utakuja kuwalisha ' Viporo ' nyumbani Kwako na Familia zao?
 
Leo TBC1 wamekiuka makubaliano ya jukwaa la wahariri kwa kutangaza habari ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam.
Itakumbukwa kuwa Jukwaa la wahariri lilitangaza kutotangaza taarifa za mkuu wa mkoa wa Dar mpaka aombe radhi.

Si ungefunba macho na maskio.je kwkao muhimu content au hasa kama wewe sio mshtaki wake.
 
ila kweli wamemchunia...jana niliona ana maiki 4 nne tu..sijui za blogs zile...!
 
TBC na CCM ni kama samaki na maji. Namuonea huruma sana Dr Ayub Ryioba.
 
TBC na CCM ni kama samaki na maji. Namuonea huruma sana Dr Ayub Ryioba.
 
kwanza inaelekea mwezi sasa kwa sisi tunaotumia ving'amuzi vya azam TBC hawana sauti basia
 
Kususa kutoa habari za MH RC ni kwakomoa wananchi kwa kuwanyima haki yao ya kikatiba ya kupata habari na si MH RC manake yeye anaendelea na kazi km kawaida na uzuri no kwamba bado kuna chombo Cha habari kinampa coverage ya kutosha tu bila kusahau mitandao ya kijamii
Hastahili hiyo heshima tena, na wala habari zake haziaminiki tena! Acha TBC na Uhuru waendelee kutangaza/kuchapisha habari zake..
 
Kuna jirani yangu mzee anapenda tbc basi siku redio imeharibika akaleta nimrekebishie. Nikanyofoa nyaya zote
 
TBC hawawezi kutii amri ya wachumia tumbo hata kidogo [emoji16]
 
Yaani TBC ndo unasema! Hao ni kawaida. Mbona hata magazeti ya habari leo na Uhuru yameripoti! Kwanza ndo waandishi waliohudhuria jana pamoja na global TV (sina uhakika kama wameripoti) na Dar 23. Makonda hana raha mi nawapongeza waandishi kwa kumsusia. Mkuchika aliwahi fanyiwa hivi mbona alikoma.
Screenshot_2017-04-05-15-10-39.png
 
Leo TBC1 wamekiuka makubaliano ya jukwaa la wahariri kwa kutangaza habari ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam.
Itakumbukwa kuwa Jukwaa la wahariri lilitangaza kutotangaza taarifa za mkuu wa mkoa wa Dar mpaka aombe radhi.
Jukwaa la wahariri hawakufuata taratibu vizuri kwa jinsi Dr.Mwakiembe alipotoka kwenye kiapo Ikulu alisema kuna Law of Natural Justice ambayo inataka wahusika wa pande zote mbili lazima waojiwe, sasa Tume iliyoundwa na Nape iliamua kutoa report bila ya kuhoji upande wa pili ambao walidai walifanya hivyo lakini Mkuu wa Mkoa aliwakimbia, cha ajabu waliotoa maamuzi walitakiwa kabla ya kutoa report yao wamuombe Mhe.Nape atumie madaraka yake kwa kumtafuta Mkuu wa Mkoa na kumuhoji lakini haikufanyika hivyo kwahiyo maelekezo yaliyotolewa dhidi ya Mkuu wa Mkoa yalikuwa 'Null and Void''
 
[HASHTAG]#ben saanane. kwanza habari za makonda zimefungiwa[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom