Nikajua tz imepinduliwa
Nikajua tz imepinduliwa
View attachment 100435ukweli na uhakika unageuka kuwa uongo na kutoaminika!Tuinaombeni ikuzwe kabisa hii [picha hata wenye matatizo ya macho waione kwa uzuri wake, kumbe tuna Rais Mpya
Aisee!
Jana kuna thread ilipandishwa inayoponda jinsi TBC1 walivyotoa makala ya Uwongo kuhusu Air Force One, Mods wakaifuta!
Ni hawa hawa TBC walitangaza kuwa ndege ya Obama ina uwezo wa kuhamisha abiria toka kwenye Airfoce One na kuwahamishia ndege nyingine ikiwa angani, bila abiria kujua chochote, na wanakuja kustuka wanaposhuka wanakuta registration ya namba ni tofauti na ile waliyoanza nayo!....utoto.
niliangali pia jana walipokuwaq wakisema kuwa urefu wa airforce One ni sawa na ghorofa sita, nilisita kisikiliza lakini akili ikawa inanituma kuangalia usawa wa ngazi waliyoweka Obama kushukia na jengo la jirani. Ndio nikajua kuwa Mh. Mbatia alikuwa na hoja aliposema vitabu vyenya 'wrong facts' vitiwe moto japo sikujua kama na ndani ya TBC wapo wanaoziamini moja kwa moja!Aisee!
Jana kuna thread ilipandishwa inayoponda jinsi TBC1 walivyotoa makala ya Uwongo kuhusu Air Force One, Mods wakaifuta!
Ni hawa hawa TBC walitangaza kuwa ndege ya Obama ina uwezo wa kuhamisha abiria toka kwenye Airfoce One na kuwahamishia ndege nyingine ikiwa angani, bila abiria kujua chochote, na wanakuja kustuka wanaposhuka wanakuta registration ya namba ni tofauti na ile waliyoanza nayo!....utoto.
View attachment 100435ukweli na uhakika unageuka kuwa uongo na kutoaminika!