TBC REKEBUSHENI HII KITU

TBC REKEBUSHENI HII KITU

french

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2017
Posts
3,644
Reaction score
3,856
TBC wameanzisha channel mpya inaitwa safari Tv. Hili ni wazo jema na zuri sana. Tatizo ukiingia kwenye menu inaonekana kama safari tv ila Tv yenyewe inasoma au inaonekana kama Tanzania safari. Sasa hapa tushike lipi. Ni safari Tv au Tanzania safari?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mode naomba urekebishe hio heading hapo uweke REKEBISHENI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom