Marire
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 12,333
- 5,315
Heshima kwenu wakuu.
Nimestaajabu na kujiuliza kulikoni hamtangaziani taarifa za habari za matukio yanayohusu wafanyakazi wenu?
mfano,tukio la Ufoo Saro lilikuwa la kutisha sana ila Tbc hawakuonyesha wala kutangaza na kuna mdau hapa jf alilalamikia pia.
leo alfajiri kuna mtangazaji wa TBC kauwa maeneo ya ubungo kwa risasi na ITV hawajatangaza.
ndo naujiuliza hivi inakuweje?