Mchaka Mchaka
JF-Expert Member
- Jul 20, 2010
- 4,517
- 1,428
Ulikuwa na akili Timamu wakati unaandika hii. Au ulishavuta Kaya na kunywa Valuer.Hawawezi kutoa habari za kichochezi kama hizo za matamko yasiyokuwa tija. kama waziri kivuli wa mambo ya ndani ameamua kwenda kutembelea mahabusu na mahabusi iwe ni habari ya kutolewa matamko na kutangazwa na TV!
Nilitaka nikupe Like button au Link ya Like haipo, ikanilazimu kuandika.T=Tuna
B=Broadcast fresh
C=Chama tawala kwanza
Na hiyo ndiyo darubini, darubini.Kweli Kabisa, aliwazalo mjinga ndilo litalomtokea!
Nina akili timamu kabisa na ni nyingi kuliko za kwako. ndio natoka sasa nikavute bange kama kiongozi wako!Ulikuwa na akili Timamu wakati unaandika hii. Au ulishavuta Kaya na kunywa Valuer.
Hivi TBC kama hamtaki kutoa coverage ya habari za CHADEMA si muache yaani huyu katibu wa CHADEMA ametoa neno moja tu na siku zote hamtoi habari za CHADEMA vizuri hata msipotoa sis tutapata tu habari, hamlazimishwi sis tunajua nyinyi ni chombo cha propaganda cha CCM.
Unanijua mm we mku..zu au ..nina uwezo wa kukuingilia kinyume na maumbile dakika yeyote ninayotaka! akili yangu ni ya kwako na mabwana zako, mara elfu moja.last warning...usiandike upupu hapa.Nina akili timamu kabisa na ni nyingi kuliko za kwako. ndio natoka sasa nikavute bange kama kiongozi wako!
Preta,
Tulikuwa tukiambiwa ukisema chui atakuja kukukamata. Hawa pia wanaogopa kutaja Chadema kitakuja kuwakamata.
Preta,
Tulikuwa tukiambiwa ukisema chui atakuja kukukamata. Hawa pia wanaogopa kutaja Chadema kitakuja kuwakamata.
dah umenichekesha sana..Unanijua mm we mku..zu au ..nina uwezo wa kukuingilia kinyume na maumbile dakika yeyote ninayotaka! akili yangu ni ya kwako na mabwana zako, mara elfu moja.last warning...usiandike upupu hapa.
Hata mimi mkuu nilishaliona hilo tena siku hizi wananiuzi kiasi kwamba nimepoteza interest na TBC
Hawawezi kutoa habari za kichochezi kama hizo za matamko yasiyokuwa tija. kama waziri kivuli wa mambo ya ndani ameamua kwenda kutembelea mahabusu na mahabusi iwe ni habari ya kutolewa matamko na kutangazwa na TV!
hiyo nimeona jana....kila ikifikia kutoa habari ya chama.....matatizo yanajitokeza....halafu msami badala ya kutamka lema....kasema kiongozi mmoja wa kisiasa.....
Hii inakuwa kama wakati ule tukiwa wadogo tunakatazwa kusema chui usiku....kazi ipo kwa kweli....