TBC mnatia aibu sana

TBC mnatia aibu sana

Hao jamaa hawataki kubadilika, wamedumaa (in Mswiga's voice).
Hao TBCCM mnawaonea Bure kwani hapo walipo wanaumwa ugonjwa unaoitwa kitaalamu " TECHNOPHOBIA ", kwa ufafanuzi zaid tafuta maana ya neno technophobia utanielewa.
 
Their Problems starts with their leadership..the Man at the helm can't deliver...
 
Inaitwa Tumia Bongo ya Ccm. Nape alituambia hawana pesa ya kutumia, baadhi yetu tukakubali tuigawane gharama hiyo ili bunge lirushwe live napo wakakataa.
Acheni ijifie kimya kimya.
 
Hahaha labda anaangaliaga chereko au Bango
ujue kuna vitu vingine bhana hata ukiwa unatoa hoja mpaka mwenyewe unakuwa unajishangaa

waachieni li-TV lao waangalie wao wenyewe mpaka mkulu mwenyewe keshalitosa yupo mawingu fm we bado umeng'Ang'ania tu
 
Kwa kweli mara kadhaa nimekuwa nikifuatilia matukio kadhaa yanayokuwa yakirushwa live na hii television yetu ya Taifa

Kwa kweli ubora wa picha zake ni jambo linalokera na kufadhaisha sana,hasa ukizingatia kwa sasa kuna television binafsi ambazo kiukweli picha zao zina ubora wa hali ya juu

Shirika hili kama yalivyo mashirika mengine ya serikali, yamekuwa yakipokea ruzuku toka serikalini
Wanashindwaje kushindana na vyombo binafsi?
Na tena TBC inaongozwa na nguli na msomi wa tasnia ya habari hapa nchini Dr Ayub Ryoba, kwa kweli jitahidini kubadilika
Mnatutia aibu kama Taifa
Labda hawapewi hela za kuboreshea hiyo mitambo?
 
Back
Top Bottom