TBC Mnaibagua Chadema Mpaka lini?

Ubaguzi kwa wana chadema, ni mkubwa utadhani ccm ndio walipa kodi peke yao. Ebu Angalien TBC1, hawawezi kutoa habari yeyote nzuri ihusiyo cdm, bali mbaya ndio wataitangaza weeeee. lkn ikiwa hata katibu wa ccm wa kata ameongea watairusha hewani kuliko kurusha ya m\kiti wa cdm. Mshana Naomba uelewe ya kuwa hata CDM nao wanahaki ya kusikiliza yanayofanya na viongozi wao kupitia vyombo vya habari vya Uma na sio ccm peke yako.
tbc1ni chombo huru cha habari kwa hivyo basi hailazimili kitoa habari kwa ajili ya kufurahisha upande unaona unaonewa sidhani kama cdm mmenyimwa kuanzisha tv staation yenu badala kuhakikisha na nyie mnakuwa na tv yenu ruzuku yotebmnayopewa inaishia kulipana allowance kwenye maandamano
 
Soon waTZ wataanza kuwabagua TBC. Wakaulize hasara wanayoipata gazeti la RAI kwa kukumbatia mafisadi na faida wanayoipata gazeti la Mwananchi kuandika mambo ya 'people's power!
 
Ubaguzi kwa wana chadema, ni mkubwa utadhani ccm ndio walipa kodi peke yao. Ebu Angalien TBC1, hawawezi kutoa habari yeyote nzuri ihusiyo cdm, bali mbaya ndio wataitangaza weeeee. lkn ikiwa hata katibu wa ccm wa kata ameongea watairusha hewani kuliko kurusha ya m\kiti wa cdm. Mshana Naomba uelewe ya kuwa hata CDM nao wanahaki ya kusikiliza yanayofanya na viongozi wao kupitia vyombo vya habari vya Uma na sio ccm peke yako.

Mpaka Dastan Tido Mhando arudi TBC
 
Back
Top Bottom