TBC kutorusha hewani taarifa za Ufoo

TBC kutorusha hewani taarifa za Ufoo

Unamanisha hata ile siku ya Kwanza tukio lilipotokea TBC Hawakutangaza kabisa au Mwendelezo wa tukio ndo haujatangazwa,kama hawakutangaza hata ile siku ya kwanza ya tukio basi "its a Problem and we should ask why ?"
 
Hili binafsi sijalifurahia kwani ni ni mpenzi wa TBC habari sijaona mpaka magazetini.habari kiundani nimezipata hapa JF!
Huo Sio uzalendo habari kwa Manufaa ya wananchii!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
mbona magazeti ya serikali yaliandika hii habari,,au mnataka apewe kipindi MAALUMU
 
Kawaida sana hii sio Ufo tu kuna watu tele
wanamatatizo na hawaonekani kwenye TV.
 
Back
Top Bottom