TBC kutorusha hewani taarifa za Ufoo

TBC kutorusha hewani taarifa za Ufoo

Pimbi wewe nyinyi ndio mnatufanya tuache kuja jukwaa hili mnadhani kila mtu humu ni mvaa mlegezo mwenzenu wakati hujui mama yako mzazi anaweza kuniita honey.

Tulia kwanza unyolewe wewe! Una haaaaaamu.
 
Hoji pia ITV kutotoa habari za Mushi
 
Ufoo siyo mwanachama wa CCM ndo maana TBCCM hawalioni tukio hilo kama habari!!!!
kWELI KABISA NA NDO MAANA YULE AFANDE KENGEZA ALISEMA MTUHUMIWA WA KWANZA NI UFOO ALIEPIGWA RISASI IMAGINE SUCH A BLUNT REMARKS FROM A UNIFORMED PERSON!
 
Back
Top Bottom