Tanzania Kwanza 2015
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 452
- 164
Jamani vyombo vya habari vya Tanzania majanga matupu.... sasa hivi ni saa 9:00 usiku nnacho ona TBC ni wanyama pori, star tv series za nje, chanel 10 sky news, ITV ni CNN... je ni kwamba wamezuiwa wasirushe mambo yanayo jili hasa matokeo ya uchaguzi huu muhim unao endelea kwa sababa CCM wameona wanshindwa? Je mbona mataifa mengine chaguzi zao tunaziona kwenye vyombo vyao vya habari hata kama hatutaki.... Hii ni kuaibisha taaluma ya habari kwa kweli... Heri JForum..... niko macho kwa sababu mnanipa raha....