TBC imemuita nani hamnazo?

Mleta maada usijitoe ufahamu ati hujamuelewa Shaa ban Knife, walimtumikia kinafiki, na huyu akienda tutasikia mengi juu yake
 
Ukisoma vizuri ile barua inamlenga mwendazake kabisa ila hakuna mahali imemtaja
 
MC Mavunde alikuwa na mikogo mingi sana!
Jamaa ' Keshaula ' Mkuu kwani nasikia kuwa ndiyo Official MC wa Shughuli zote za Mama ( Mheshimiwa Rais ) Samia Suluhu Hassan akichukua nafasi ya Yule Mzee wa aliyekuwa wa Mwendazake ( Hayati ) kutokea Mkoani Dodoma.
 
.
 
Mbona jibu rahisi Tu, kama Hamnazo alishindwa kudhibiti mbigiri kabla hazijaingia shambani na akaamini kuwa anaweza kuzikanyaga na Maisha yakaendelea, tofauti na matarajio zikamchoma yeye mwenyewe na kusababisha kifo chake, basi TBC wametusaidia kujua kwamba haikuwa umeme WA moyo.
 
Mkuu kwa hili la Kiburi chake Shabaan Kisu kwakuwa yuko na Rais hata ingekuwa ni Mimi GENTAMYCINE au Wewe ( Ezekiel Mbaga ) tungekuwa na hiyo nafasi tungekuwa nacho pengine kuliko Yeye.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwahy kiburi kimekuja bila kubisha hodi.? Yan kimekuja automatically 😁😁
 
TBC wameachana na zile swagga za kishindo cha awamu na tunatekeleza??
Maisha yanaenda kasi SANA.

Everyday is Saturday............................... 😎
Tunatekeleza bado kipo, sasa hivi kimehamia kwa mama
 
Kuna vitu ni vigumu kuamini kama kweli vimetokea kama mtu anavyohadithia mpaka labda uvione mwenyewe..., nasikitika hili nalo kwangu ni mojawapo (ngumu kulimeza)..., Ila kama ni kweli basi ni vema...

Slogan ya Ukweli na Uhakika, wanaitendea haki
 
Jana sijui ni kwa bahati mbaya au kwa makusudi wakati watangazaji wanaongea wakimsubiri mama afike kuzindua tank la maji, mtangazaji mmoja wa kiume alitumia hili neno "mwendazake" wakati anaelezea miradi ya JPM
Inawezekana akawa ni huyu huyu Shaban kisu mana yeye ndie MC wa msafara wa rais
 
Kama Mtangazaji wa TBC ametunga hadith ya kipuuzi hivi basi kuna shida kubwa. Yaani mtu anachomwa na mbigili matakoni hadi anakufa? Mbigili za wapi hizo? Akasimulie watoto wenzie.
Kwa wanaoangalia tbc hata kwa bahati mbaya watakubaliana na mm kuwa tbc wanakula mshahara wa bure na unafiki juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…