balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,700
- 15,436
Huyo Ni Jiwe kabisa.Kwa walioangalia taarifa ya habari leo TBC watanielewa.
Kwa kawaida jina au neno hamnazo linamaanisha mtu mjinga, mpumbavu pia asiye na akili timamu.
Leo baada ya taarifa ya habari ya TBC hua kuna kipindi nadhani cha dakika zisizozidi tano kiitwacho Tafakuri ambacho kinatangazwa na Shaban Kisu na huelezea mambo mbalimbali, sasa leo kipindi kilimuelezea mtu aliyepewa jina la Hamnazo.
Ndugu Hamnazo alikuwa ndani akiwa amevaa msuli bila nguo yoyote ndani yake, akaamua kwenda shambani kwake huku akiwa bila viatu, aliingia ndani ya shamba lake huku akikimbia huku shamba lake limejaa mbigiri (miiba) hivyo mbigiri zile zilimchoma lakini ndugu Hamnazo aliendelea kukimbia kuingia katika shamba lake baada ya kuchomwa sana na zile mbigiri akaamua kukaa chini (tukumbuke alivaa msuli bila nguo yoyote ndani yake) hivyo zile mbigiri ziliendelea kumchoma hata huko makalioni, alilia kwa uchungu bila msaada wowote hivyo ndugu Hamnazo akafariki.
Baada ya sehemu hiyo ya ndugu Hamnazo ikafata sehemu inayoelezea kuwa mbigiri ni sawa na ugonjwa wa corona, shamba ni nchi na huyo ndugu Hamnazo ni kiongozi ambaye hakuchukua hatua kuzibiti mbigiri zilizoota shambani kwake hivyo kupelekea kifo chake.
Mwisho, mtangazaji wa kipindi hicho cha Tafakuri ndugu Shaban Kisu akawashauri watu wajilinde dhidi ya ugonjwa wa corona ili wasife kizembe kama ndugu Hamnazo.
TBC1 hapa walimlenga nani kwa kumuita Hamnazo.?
MagufuliKwa walioangalia taarifa ya habari leo TBC watanielewa.

Ukifa huna thamani
Kwel mtu ukifa Huna thaman kweli tbc ndio ya kumnanga jitu mwitu msitu
Rest in peace diktekta
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
HAMNAZO NI MTU ASIYEJALI AU KUIOGOPA HATARI ILIYO MBELE YAKE...(hakulengwa mnayemfikiria)Kwel mtu ukifa Huna thaman kweli tbc ndio ya kumnanga jitu mwitu msitu
Rest in peace diktekta
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mkuu kwa hili la Kiburi chake Shabaan Kisu kwakuwa yuko na Rais hata ingekuwa ni Mimi GENTAMYCINE au Wewe ( Ezekiel Mbaga ) tungekuwa na hiyo nafasi tungekuwa nacho pengine kuliko Yeye.Madaraka ya kutembea na msafara wa rais umemfanya awe na kiburi cha hali ya juu kabisa
hamnazo ni mwendazake JIWEKwa walioangalia taarifa ya habari leo TBC watanielewa.
Kwa kawaida jina au neno hamnazo linamaanisha mtu mjinga, mpumbavu pia asiye na akili timamu.
Leo baada ya taarifa ya habari ya TBC hua kuna kipindi nadhani cha dakika zisizozidi tano kiitwacho Tafakuri ambacho kinatangazwa na Shaban Kisu na huelezea mambo mbalimbali, sasa leo kipindi kilimuelezea mtu aliyepewa jina la Hamnazo.
Ndugu Hamnazo alikuwa ndani akiwa amevaa msuli bila nguo yoyote ndani yake, akaamua kwenda shambani kwake huku akiwa bila viatu, aliingia ndani ya shamba lake huku akikimbia huku shamba lake limejaa mbigiri (miiba) hivyo mbigiri zile zilimchoma lakini ndugu Hamnazo aliendelea kukimbia kuingia katika shamba lake baada ya kuchomwa sana na zile mbigiri akaamua kukaa chini (tukumbuke alivaa msuli bila nguo yoyote ndani yake) hivyo zile mbigiri ziliendelea kumchoma hata huko makalioni, alilia kwa uchungu bila msaada wowote hivyo ndugu Hamnazo akafariki.
Baada ya sehemu hiyo ya ndugu Hamnazo ikafata sehemu inayoelezea kuwa mbigiri ni sawa na ugonjwa wa corona, shamba ni nchi na huyo ndugu Hamnazo ni kiongozi ambaye hakuchukua hatua kuzibiti mbigiri zilizoota shambani kwake hivyo kupelekea kifo chake.
Mwisho, mtangazaji wa kipindi hicho cha Tafakuri ndugu Shaban Kisu akawashauri watu wajilinde dhidi ya ugonjwa wa corona ili wasife kizembe kama ndugu Hamnazo.
TBC1 hapa walimlenga nani kwa kumuita Hamnazo.?
MwendazakeKwa walioangalia taarifa ya habari leo TBC watanielewa.

Jana sijui ni kwa bahati mbaya au kwa makusudi wakati watangazaji wanaongea wakimsubiri mama afike kuzindua tank la maji, mtangazaji mmoja wa kiume alitumia hili neno "mwendazake" wakati anaelezea miradi ya JPMDuh! Aisee si mchezo ngoja tusubiri wahusika watasema labda mwendazake