TBC imemuita nani hamnazo?

Huu uzi sijui kama wenye jeiefu hawatapita nao
 
Tbc wana ujinga mwingi, mama akisema kuwe na lockdown lazima wampigie debe kuwa yuko sahihi tofauti na Mwendazake
Na ni kwamba TBC hawajafanya bure wameelekezwa. Sasa tumeingia hatua ya PS - Propaganda and Sychophants. Strategy ya kuchezea muda wetu mara 2025 inafika - miaka 4 iliyobaki bado topic na lawama ni JPM...When we wake up with the mind games they have played it will be too late and NO Opposition - NO New Constitution. Mob Psychology Technique.
 
Kila nafsi itaonja umauti
 
Hivi tumewahi kupata kiongozi bora toka usukumani?? Mwenye mfano anikumbushe hili kabila kubwa limewahi kutupa kiongozi gani bora awe chama tawala ama upinzani akatoa mchango wakupigiwa mfano. Simanishi ubaguz Bali nafanya research ya historia.
 
Mkuu umenena haswaa..
HAMNAZO hatunae tena.
 
MATAGA wame disappear kweny huu uzi kbs 🤣🤣🤣
 
This story is consistent with the death of Magufuli.
 
Hiyo aya ya tatu kutoka chini, ndivyo bwana Kisu alivyotafsiri ama ni tafakuri yako baada ya kumsikiza ndg Kisu Shaaban!? Nataka kunua tu sina nia ya kukupinga ama kukukubalia!
 
Ndio wamefikia huko???
Tafakuri naona kilikua ni kipindi maalumu kwa ajili ya bwana Hamnazo.
Mtangazaji alikua anaanza story mbaaali mara wakoloni hivi wakoloni wakafanya vile....mara anakuja kuibukia kwa Jpm jembe shujaa bla bla leo imefikia huku.
Ha ha ha kumbe ni katafukuri ka toka kitambo tu,ila Leo ndio kamekuja na hamnazo!?[emoji3]
 
Sasa unatuuliza sisi, si ungeanza wewe kutupa jibu, nyie ndio mama kawaambia kule Mwanza kuwa mnatumia mitandao vibaya, mnapenda kuuliza au kukosoa tu bila kuja na majibu ya hayo mnayoyasema.
 
Shaaban Kisu awe mwangalifu na tafakuri yake.

Kwa tafakuri hii ni rahisi mawazo ya mtu kwenda mbali sana na hatimaye kumfikiria kiongozi "hamnazo" ambaye kwa sasa kashatangulia mbele ya haki na wengi wanaamini kweli alikuwa "hamnazo"
 
Hiyo aya ya tatu kutoka chini, ndivyo bwana Kisu alivyotafsiri ama ni tafakuri yako baada ya kumsikiza ndg Kisu Shaaban!? Nataka kunua tu sina nia ya kukupinga ama kukukubalia!
Boss, hayo ni maneno ya Shaban Kisu, ukisoma vizuri utaona nmesema ni mtangazaji ameongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…