Tbc hivi vifo mnatoa kafara???

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,954
22,125
MMMMhhhhh jamani kwanza napenda kutoa pole kwa wale wote waliokumbwa na misiba mifululizo kwenye ofisi za tbc...tunaona misiba kila taarifa ya habari imenisibu kuuliza wana jukwaa hivi vifo ni kafara ama vya kawaida iweje kila siku nyie.????

polen kwa wafiwa wa dereva nyoka kama mmeona pale tazara kulikuwa na mabaki ya ajali iliomuondoa ndugu yetu bwa nyoka aliekuwa dereva wa TBC...Hata hivyo unawatakia
pole na uvumilivu ktk wakati huuu wa misiba polen mng ya tbc
 
mmmmhhhhh jamani kwanza napenda kutoa pole kwa wale wote waliokumbwa na misiba mifululizo kwenye ofisi za tbc...tunaona misiba kila taarifa ya habari imenisibu kuuliza wana jukwaa hivi vifo ni kafara ama vya kawaida iweje kila siku nyie.????

Polen kwa wafiwa wa dereva nyoka kama mmeona pale tazara kulikuwa na mabaki ya ajali iliomuondoa ndugu yetu bwa nyoka aliekuwa dereva wa tbc...hata hivyo unawatakia
pole na uvumilivu ktk wakati huuu wa misiba polen mng ya tbc

kuwa na imani kijana kumbuka hakuna kifo kisicho na sababu.
 
.... Hata kama hatuwapendi kihiivyo, lakini sidhani kama hili swali linastahili.:nono::nono:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom