Nchi ya Vilaza!
kwani wewe upo wap mkuu?
Ni Stanley Ganzel huyu anashindwa na mdada Anna Mwasyoke ambaye yeye anatamka wazi na sahihi kuwa leo ni kuadhimisha uhuru wa TANGANYIKA.
Huyu, bolded, katokea TVZ (Television Zanzibar) siku hizi ZBC (Zanzibar Broadcasting Corporation.Bora hata Ganzel kidogo, kuna jamaa anaitwa Marin Hassan sijui kasomea wapi huyu maskini wa mungu, au ndy ukiwa kibaraka sharti ujitoe akili!
Huyo Mtangazaji leo kasema UONGO ULIOKITHIRI SANA kiasi cha kwamba uongozi wa TBC unatakiwa uombe radhi kwa WaTZ. Kwa mfano amesema "Nyerere alianzisha jeshi la mgambo kiasi cha miaka ya sitini ili watu wote wapitie mgambo baadaye akilibadilisha likawa ni Jeshi la Kujenga Taifa".Naangalia sherehe za uhuru wa Tanganyika kupitia TBC. Kilicho nifadhaisha ni kumsikia mtangazaji wa kiume akisema TAA ni Tanzania African Association. Ninavofahamu mie kirefu chake ni Tanganyika African Association.
Mkuu, yaonekana hapo TBC wasema UKWELI na UHAKIKA siku hizi hawatakiwi na yawezekana kiazi huyu akapandishwa cheo.Huyo Mtangazaji leo kasema UONGO ULIOKITHIRI SANA kiasi cha kwamba uongozi wa TBC unatakiwa uombe radhi kwa WaTZ. Kwa mfano amesema "Nyerere alianzisha jeshi la mgambo kiasi cha miaka ya sitini ili watu wote wapitie mgambo baadaye akilibadilisha likawa ni Jeshi la Kujenga Taifa".