TBC hacked?

Alexism

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
3,423
2,045
Jamani hii station ya TBC ONE imeingiliwa au vipi?Wakati ninaangalia documentary ya wanyama Serengeti Lion Project nimeshangaa kuona station hii ya Taifa ikionyesha station ya FOOD 185 dstv yaani hapo nimeshindwa kuelewa wakuu inakuwaje TBC ONE.??
 
I wish ingekuwa hacked na channel inayoonyrsha mambo ya kikubwa, ili watoto nao wafaidi kuona wanachofanyaga wakubwa wao
 
I will wonder if public resources will be wasted to identify the hacker while he can easily be trapped from here. Congra for making it as you wished!

https://www.jamiiforums.com/habari-...a-wa-ku-hack-tv-i-want-to-take-down-tbc1.html

Heri shari kuliko nusu shari! Hiki ni chombo cha umma na kinaendeshwa kwa kodi yangu na yako!
Katikati ya majonzi mazito ya ajali ya meli huko zanzibar watanzania tunategemea cnn kupata habari za ndani ya nchi yetu, huku tbc wakiweka taarabu na picha za kibongo?

Sasa naingia chimbo kuhakikisha navuruga mfumo wao wote wa urushaji matangazo!
Ewe mdao mzalendo na mwenye uchungu na nchi yetu naomba tusaidiane kukiangusha chombo hiki kilichogeuka kuwa kitengo cha propaganda cha ccm!!
 
kwani ni dhambi kwa TBC1 kurusha vipindi vya station nyingine kwa kibali maalum??
 
kwani ni dhambi kwa TBC1 kurusha vipindi vya station nyingine kwa kibali maalum??

mkuu ujaelewa mada!hii kitu imeendelea mpaka kwenye kipindi cha BANG yaani dakika mbili ni kipindi cha kawaida alafu dakika moja FOOD channel 185 dstv siyo kama unavyoelewa wewe au unavyo AMINI!!! Naomba uangalie TBC 1 mpaka hata Taarifa ya Habari.
 
Wao ni binadam kama wewe hivyo kukosea ni kawaida ndugu yangu acha kuwa mlalamishi.
 
Jamani hii station ya TBC ONE imeingiliwa au vipi?Wakati ninaangalia documentary ya wanyama Serengeti Lion Project nimeshangaa kuona station hii ya Taifa ikionyesha station ya FOOD 185 dstv yaani hapo nimeshindwa kuelewa wakuu inakuwaje TBC ONE.??

Jason bourne aliahidi angeitake-down TBC 1kama adhabu ya wao kutuonyesha taarabu badala ya kuonyesha mambo yenye maslahi kwa taifa kama wakati ule wa mambomu ya g/mboto na wakarudia tena kusa wakati wa kuzama ilemeli ya znzbr wao walikuwa wanabehave as if hakuna tatizo lolote lililotokea....hiyo thhread hao kina invizibo wameshaiclose....inawezekana JB kashaanza kazi
 
Back
Top Bottom