TBC & CH10 Picha bado | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TBC & CH10 Picha bado

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Nyasiro, Jul 10, 2012.

 1. N

  Nyasiro Verified User

  #1
  Jul 10, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Ubora wa picha wa Channel 10 na TBC 1 ni aibu. Tena bora TBC, Ch10 ndo bure kabisa. Kwa zile picha ambazo sio zao kama vile video za wasanii huwa zinavutia lakin zao mfano vipindi vya bunge ni mchelemchele 2 nahisi tekn wanayo2mia ni ya 1980s. Kwenye habari zao sasa...msomaji anamaliza kusoma anasubiri zaidi ya sekunde hata 10 ndipo taarifa itokee. Sina hakika kama nimepost mahala sahihi lakini...
   
Loading...