Igwamanoni
Member
- Apr 21, 2010
- 25
- 0
Mimi naamini TBC ni chombo cha habari chenye wafanyakazi wenye weledi katika kazi zao. Matarajio yangu ni kuwa watawatumikia watanzania kwa uadilifu na kutekeleza kaulimbiu yao ya 'Ukweli na Uwazi'. Sasa wanapokuwa wanatumikia maslahi ya serikali pekee ni usaliti kwa watanzania. Please Tido understand this...