yang
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 733
- 813
Tanroad wameshaambiwa wajenge airport za tz zote
[emoji3]
Sasa hapo consultant atakuwa nani
Tanroad wameshaambiwa wajenge airport za tz zote
Exactly, that's my point mkuu!
Badala ya ku think through a project, sasa TBA wanafanya wenyewe, wakati hawako equipped managerially, na hata kwa set up kuwa kampuni ya kikandarasi.
Wameokoa fedha kama pale Hostel za Mlimani hatukatai, lakini si tumeziona "expansion joints" za kutisha?
Maintainance costs lazima zitakuwa kubwa mno!
Tafuta tu mtaji wa 150,000/=, wasomeshe wahusika kwenye dola utatengeneza mabilioni baada ya miaka 2 tu!Yani saivi sielewi kama tunaenda mbele, nyuma, kulia au kushoto. Hata maana ya elimu siioni ♂️
Majungu!Mecco iliisha kwa kushauriwa vibaya raisi aliyekuwepo madarakani wakati huo sababu mkurugenzi mkuu alikataa kutoa fedha kugharimia mtoto wa mjumbe wa bodi kwenda ulaya ikaua shirika zima
Siy kweli.Tanroad wameshaambiwa wajenge airport za tz zote
Yeye mwenyewe kama jengo LA udsm[emoji3]
Sasa hapo consultant atakuwa nani
Waziri makame mbalawa wa ujenzi amesema watajenga kama TBA walivyojenga hostels za udSiy kweli.
TANROADS wanasimamia kama wakala, ujenzi wa viwanja vya ndege.
Kuna tofauti hapo.
Nina uhakika hukumwelewa.Waziri makame mbalawa wa ujenzi amesema watajenga kama TBA walivyojenga hostels za ud
Na kazi yao,wanaitekeleza kwa weledi mkubwa.Nina uhakika hukumwelewa.
TANROADS hawajawahi kuwa na hata chepe ofisini mwao.