"Eli Eli lama sabachthani?" which is, "My God, my God, why have you forsaken me?" Mark 15:34.
Nani huyu anaeomba anusuriwe?
Quran 15: 6. Na walisema: Ewe uliyeteremshiwa Ukumbusho! Hakika wewe ni mwendawazimu.
Muhammad anaitwa mwendawazimu mbele ya kadamnasi. Hayo madai ya uwendawazimu hayakukataliwa na mtume wa Allah. Alicho fanya Muhammad ni kukaa kimya, jambo ambalo ni jibu tosha kuwa alikubali kuwa yeye ni Mwendawazimu. Uhakikisho wa uwendawazimu wake upo kimaandishi.
Hebu tusome Simulizi zake kidogo: "Kitab al-Tabaqat al-Kabir", (Kitabu cha Madarasa Meja), na Ibn Sad, kutafsiriwa na S. Moinal Haq, [4], ukurasa wa 225; Muhammad akisema:
O Khadija, Ninaona Mwanga, na nasikia Masautisauti, nina hofu kuwa mimi nina Wazimu.
Kwenye hiyo simulizi yake, hapo juu, Mtume wa Allah anakiri kuwa yeye ni mwendawazimu. Kukiri huko, kunatuletea maswali mengi, ambayo nategemea mengi ya maswali hayo, yatakosa majibu. Lakini ni vyema tujiulize maswali. Kwanini Allah aliteremsha aya inayo muita Mtume wake Mwendawazimu? Kwanini Muhammad hakukataa kuitwa Mwendawazimu? Utume wa huyu Muhammad umejaa shaka, pale alipo kubali kuwa yeye ni mwendawazimu. Rejea kwenye simulizi yake hapo juu. Nita nukuu sehemu fupi ya kukubali kwake O Khadija,
.nina hofu kuwa mimi nina Wazimu.
Hatujawai soma kwenye vitabu vingine vitakatifu kuwa Mitume wa Mungu wa Biblia walikubali kuwa wao ni Wendawazimu, lakini leo hii tumejifunza kuwa Muhammad mtume Allah, anakubali kuwa yeye ni Mwendawazimu.