Tazara: Wezi wapora gari kwa kutumia silaha

Hapa Kazi Tu ujambazi Kama kipindi cha mahita unataka kurudia,wanataka kumpoteza magufuli katika harakati zake za kutumbua majipu ili atumie mda mwingi kufatilia issue za ujambazi.

Khaaaa, mkuu hata ujambqazi nao pia ni Jipu. Kama ukiluwa hujui, jua kuanzia sasa! Hivyo JPJM anatakiwa alitumbue haraka sana hata kabla halijaiva manake ni hatari.
 
yani upo pembeni ya tukio afu unaomba wenye taarifa zaidi wakujuze tena mtandaoni
 
nasikia walikuwa na smg na wamepora boksi tatu zilizokuwa na pesa,ni karibu na kituo cha polisi buguruni,mwenye updates zaidi atujuze
 
Safi sana majambazi.
Mnaambiwa daily kuwa muombe escort ya polisi,hamtaki.
Na mnyooshwe tu hakuna jinsi sasa.
 
Ujambazi unarudi tena kwa kasi,jamaa kaamua kuanza tena ujambazi nini? Kikwete aliumaliza iweje baada ya Kikwete kustahafu unarudi tena? ni hujuma au wananchi hawafati taratibu za kusafirisha fedha?
 
Nimeona hilo tukio mwanzo mwisho...kuna askar pale tbc ila sikuona hata mmoja atoke...majambazi ninauhakika hawakuwa wanajua kama lile jengo pembeni linalindwa hawakuwa na mda nalo, walikuwa mmoja ana-guard barabara mwingine anachukua box la kaki kwenye buti....alafu hawakuwa na haraka kama vile wanachokifanya ni kitu cha kawaida

Nilijaribu kuchukua video ila nilishitukiwa nashukuru tu ile silaha ili-miss fire....la sivyo hata mimi ningekuwa marehemu kwenye ilo tukio
 
Askari nao wanapenda kuishi wanaujua mziki wa wazee wa kazi
 
Askari walikuwa na uwezo wa ku-engage kabisa tena kwa kushtukiza...ninavyokwambia niliona ishu nzima ninajua ninachokiongea hawakuwa na mda na kile kibanda cha askari(kitu ambacho si kawaida) kwa jambazi iliyepanga mipango yake vizuri hakutakiwa kumiss hicho kitu

Askari kama angetokea pale angeweza kuwa distract hata kuacha na vile vitu vyote...

Kwanza wamepanda pkpk ikawa inawazingua watu walivyosogea ikabidi wapige tena risasi hewani, ndo watu kurud walipo toka...

Wale askar ni wazembe sana!

Na wale wala si wazee wa kazi kwa nilivyowaona mimi...they are amatures sema tu wamechukua ujiko *******...hata ushikaji wao wa silaha na usafi wa silaha pia ni mbovu(ime-miss fire zaidi ya mara tatu) haikuwa safi! Nasema kama mtu mwenye experience na silaha za moto
 
Siku zote jambazi hana nidhamu kwenye kutumia silaha yoyote ile! Akishadhamiria tukio hana cha kupoteza, lazima polisi wajilinde na wajiridhishe kuwa mazingira yako salama ku engage!

Na askari kama analinda geti hawezi kujihusisha na tukio nje ya perimeter yake, inaweza kuwa tukio ni kama bait ya kuingia kwenye ngome yake pale atakapotoka sehemu yake na kwenda kwingine!

Hao watakuwa wamemulikwa toka eneo la tukio hadi kwa "mama"yao...mchwa anaangamizwa kwenye kichuguu sio msafara wake barabarani.
 
Well washachukua tayari, hizi nyingine ni muhtasri baada ya habari
 
Askari walikuwa na uwezo wa ku-engage kabisa tena kwa kushtukiza...ninavyokwambia niliona ishu nzima ninajua ninachokiongea hawakuwa na mda na kile kibanda cha askari(kitu ambacho si kawaida) kwa jambazi iliyepanga mipango yake vizuri hakutakiwa kumiss hicho kitu

Askari kama angetokea pale angeweza kuwa distract hata kuacha na vile vitu vyote...

Kwanza wamepanda pkpk ikawa inawazingua watu walivyosogea ikabidi wapige tena risasi hewani, ndo watu kurud walipo toka...

Wale askar ni wazembe sana!

Na wale wala si wazee wa kazi kwa nilivyowaona mimi...they are amatures sema tu wamechukua ujiko *******...hata ushikaji wao wa silaha na usafi wa silaha pia ni mbovu(ime-miss fire zaidi ya mara tatu) haikuwa safi! Nasema kama mtu mwenye experience na silaha za moto

Duu bila shaka wewe ni poti mstaafu
Kwa hiyo mkuu unawalaumu ku miss fire wakati wangelenga vizuri ungekua marehemu
 
Kiukweli tu kama ile risasi ingetoka sahvi m(tu)ngeongea mengine...
 
Ndio hivyo shukuru Mungu ulikutana na hao amateurs ,ungekutana na hao ma professional wenzako ,tungekua tunakuimbia sasa hivi ,si mbalii ,karibuu .......
 
Back
Top Bottom