Ndalilo
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,674
- 8,312
Habari wadau,
Muda si mrefu vijana wamefanya yao, wametumia silaha nzito ama kupora au vyovyote ilivyokuwa wamepanga kufanya.
Ni pembeni kidogo ya TBC pale, hawakua na haraka wala uoga, gari iliyovamiwa ina namba za usajili T262 BKS.
Nilikuwa opposite na eneo la tukio. Nimeona wakitoa kifurushi kwenye gari hiyo na kuondoka. Sikuona kama kuna mtu yeyote ametoka kwenye gari hiyo iliyovamiwa.
Askari wa pale TAZARA hata kujitikisa tu wameshindwa pamoja na kuwepo wale wenye SILAHA watembeao na pikipiki.
Wenye taarifa zaidi mtujuze ni nini hasa kimetokea.