TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,866
- 5,742
Shirika la Reli kati ya Tanzania na Zambia (TAZARA) kwa kushirikiana na Kampuni ya Reli ya Zambia (ZRL) zimetiliana saini na Kampuni ya Nishati ya Delta ya Zambia kusafirisha kati ya Lita milioni tano hadi sita za Mafuta kutoka Tanzania kwenda Zambia.